Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mbwana Samatta kijana mtanzania ambaye anaonekana kung'ara kila kukicha kwenye timu yake ya Genk huko Ubelgiji, amenifanya kujiuliza; 1. Je, nini hasa ambacho alifanya na anaendelea kufanya...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni bwana mdogo ambae ameshindwa kuficha hisia zake kwa Ibrahim Ajibu ingawa kwa Hali duni aliyokuwa nayo ya kushindwa kununua jezi yenye jina la Ajibu lakini ame print kwa kutumia kalamu ya wino...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sakata la majeruhi limedhidi kuikumba club ya man united na kufanya mchezo wa leo dhidi ya Chelsea wacheze bila ya kuwepo na mshambuliaji yeyote tegemezi baada ya zlatan kuanza kutumikia adhabu ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Naangalia mechi ya USA vs Ghana imenifanya nifikirie kama ndugu zetu wacheza karate na kutengeneza vitu feki kama walishawahi kushiriki (si kuchukua) kombe la dunia au nao ka sisi TIA MAJI TIA...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Shabiki mfia Yanga anayekwenda kwa jina la Kanjunju mkazi wa Jangwani aliangua kilio baada ya mechi ya Simba na Yanga. Kanjunju aliliwa pesa ya mtaji shilingi 50,000 kutokana na kupinga na wenzake...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimejaribu kupitia Msimamo wa Ligi Kuu Ya Scotland Nimekuta ya Celtic INAPOINTS 82 ikiwa imecheza Michezo 28 wakiwa wahajapoteza mchezo hata Mmoja Na wakiwa wameenda Sare Mchezo Mmoja. Kocha mkuu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Champion Boy Mbwana Samata leo tena Ametupia ligi kuu ya Ubelgiji huku timu yake ikiibuka na Ushindi wa goli 4 kwa bila. Hongera Champion Boy
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Mbwana Alli Samatta amechaguliwa katika kikosi bora cha UEFA(Europa League) cha week. Haya ni mafanikio makubwa kwa kijana Mtanzania kujumuishwa katika kikosi hiki,akiwaacha kando wakali kama...
11 Reactions
67 Replies
16K Views
Leo kutakuwa na pambano la michuano ya klabu bingwa ya Africa ka ti ya Yanga na Zanaco Kikosi cha Yanga ====================== Mpira umekwisha kwa kila timu kupata goli moja, timu hizo...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Leo ni Siku ya kuzaliwa kwa mchezaji Said Ndemla. Tunamtakia maisha mema yenye fanaka tele.
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Game kubwa kuliko zote kwenye Scottish Premiership ilichezwa leo mchana pale Celtic FC walipowakaribisha Rangers kwenye uwanja wao nyumbani (Celtic Park). Na hivi ndio mashabiki wa Rangers...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
FIFA's President reacts to controversial calls in Barça vs PSG game - Video :: Live Soccer TV The biggest comeback in European football did not go overlooked by FIFA's President, Gianni...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni Mwingereza aliyezaliwa 1989. Kapigana mapambano 24, kashinda 23, 19 kashinda kwa KO, kapoteza 1. Jamaa ni mkali kweli kweli. Anapiga upper cut za ajabu. Anajua kukwepa, anashambulia kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Barcelona imeichanachana PSG kwa kuizaba mabao 6-1 na hivyo kusonga robo fainali kwa mabao 6-5. Katika mchezo wa kwanza,Barca walizabwa mabao 4-0 Barcelona imeweka rekodi mpya kwenye michuano ya...
17 Reactions
191 Replies
18K Views
1.Liverpool Vs Ac Milan(2005) hii ilikua fainali ya UEFA CUP Ac Milan Akiwa mbele kwa goli 3 magoli ya Paulo maldin,Na Crespo goli 2 Liverpool anakomboa yote kupitia Gerrad,Xabi alonso na Vladrmir...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Hapo lazima Mavugo na Kichuya watupie
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni tofauti sana na Mashabiki wa Yanga SC, Mashabiki wa Matopeni imegundulika kuwa (Kulingana na tafiti zisizo rasmi) hawana uhakika wa zaidi ya Asilimia 50% kuwa Klabu yao inaweza kuwa Bingwa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Samahani naomba kuuliza kocha wa taifa stars ni nani bado ni Yule Boniface mkwasa au kuna mpya?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Arsenal mnashika bunduki za nini kupambana na Wajerumani? Babu yangu Mkwawa aliwapiga Wajerumani kwa pinde na mishale. Arsenal nimewakosea nini Leo mnaenda kujipigisha magoli matano kwa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…