Team ya Simba chini ya miaka 20 imefanikiwa kuchukua kombe baada ya kuifunga team ya Azam Fc kwa mikwaju ya penalty 5-3 kabla ya hapo team hizi zilitoka sare ya 2-2 mchezo uliochwzwa kwa dakika...
Mhe. Mbunge Esther N. Matiko (Tarime Mjini) akipokea Silver Medals kwa Mbio Mita 100, 200, 400, 800 na relay 400, ushindi wa pili Netball, Tug of War na ushindi wa Tatu Volleyball na mbio Relay...
Nilikua kazini lkn nilikua Namibia kwa mbali tv screen mechi ile ikiendelea kweli Madrid walipata bao lakini depotivo walisawazisha na kuongeza goli ikawa 2-1,
kutokea hapo refa ndio akazidi kuwa...
MAAMUZI YA KAMATI YA TFF KUHUSU HASSAN KESSY
Ifuatayo ni taarifa ya Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji
Baada ya kupitia mawasilisho ya pande zote kwa njia ya mahojiano, na vielelezo...
Wadau wa kandanda la Tanzania, naomba tujadili iwapo kitendo cha Yanga kumchezesha mchezaji halali wa Simba Hassan Kessy katika mechi za Ligi Kuu kilikuwa Halali au sio Halali? Na ni nani...
Shirikisho la Soka Tanzania TFF limeiamuru klabu ya Yanga kuilipa Simba shilingi milioni 50 kama fidia ya kukiuka utaratibu wa usajili wa mchezaji Hassan Ramadhani Kessy pamoja na kuitoza faini ya...
Muda sio mrefu pambano la kugombea mkanda wa dunia uzito wa Heavyweight kati ya Muingereza Antony Joshua ambaye ni bingwa mtetezi dhidi ya Mmarekani Eric Molina litaanza.
Tujumuikeni hapa...
Haya wandugu,
Kwa wale mashabiki wa Messi (au hata wale wa Ronaldo) hizi hapa dakika 45 zilizokusanywa pamoja toka mechi mbalimbali ambapo Messi anaonekana kukabiliana vilivyo na viatu, vikumbo na...
Juventus 2 Dinamo Zagreb 0
Barcelona 4 Monglebach 0
PSG 2 Ludogolets 2
Bayern Munchen 1 Atletico madrid 0
Fc Porto 5 Leicester city 0
Je Matokeo Haya ni Kielelezo tosha cha kujua ligi gani bora...
Jinsi sakata la mchezaji wa zamani wa Simba Hassan Ramadhan Kessy kujiunga na Yanga lilivyoshughulikiwa na inayoitwa Kamati ya Sheria na Haki za wachezaji inaonyesha ni namna gani safari ya...
Mod Haya ni malalamiko ya wananchi usitoe huu uzi.
Nimefika hapa uwanja wa Taifa kushuhudia mechi kati ya Yanga na JKU,
Cha ajabu watu wamefika kwa wingi tiketi watu wamenunua kupitia Selcom...
Waandishi wengi hawatoi taarfa kuhusiana na michezo za vijana hawa,kuongelea ata vipaji,namna ya kuwaendeleza,waandishi wa michezo ni wakwanza kulalamika kuwa timu zetu haziwekezi kwenye soka la...
Kama mwana michezo na mtu niliye guswa sana na kifo cha mchezaji chipukizi wa mbao fc nasahuri klabu za simba na yanga zicheze friend match na mapato yake japo asilimia 60 yatumike kama rambi...
Hatimayr yule winga wa zamani wa timu ya Dar es salaam Young africa aliyekuwa akikipiga nchini south Africa amejiunga rasmi na timu ya mbeya city hivyo tegemea kumuona ktk mzunguko wa pili hii ni...
Jana baada ya Game ya Mancity na Chelsea kwisha na Mancity kufungwa goli 3 kwa 1 kocha Pep Guardiola wa Mancity hakumpa mkono Fabregas sijui alikataa Au hakumuona
Ila Video inaonyesha Fabregas...
Je upo mbeya na unajiamini wewe ni fifa 16 champion,,,,, Jumamosi ya tarehe 17 december itakua ni siku yako kujidhihirisha kuwa wewe ni mbabe....
KUJIUNGA
Kiingilio kitakua 5000 tu na zoezi la...