Uongozi wa Yanga SC umemtambulisha rasmi kocha mpya wa timu hiyo kutoka nchini Zambia George Lwandamina ambaye anajiunga kwenye timu hiyo akichukua nafasi ya kocha Hans Van Pluijim ambaye atakuwa...
Kwa taarifa yako Manara ni kua kutaka mechi ya Yanga na Simba ichezeshwe na huyo refa wa nje umechemka kwani makomandoo wakitaka wanapanda nae ndege na kukaa pembeni yake kwenye ndege na kumaliza...
Kwa taarifa yako Manara ni kua kutaka mechi ya Yanga na Simba ichezeshwe na huyo refa wa nje umechemka kwani makomandoo wakitaka wanapanda nae ndege na kukaa pembeni yake kwenye ndege na kumaliza...
Habari wana JF na wapenda michezo!!
Hivi umewahi kujaribu kukinga maji kwenye tenga?? Au labda kutwanga maji kwenye kinu?? Haya ni matendo ya kishujaa sana yanayohitaji moyo wa ujasiri...
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Azam ni kwamba Hernandez amewaambia mabosi wa timu hiyo kuwa anataka kuwa na kikosi ambacho kitatisha
KOCHA Mhispanyola wa Azam, Zeben Hernandez amechoshwa na...
Huyuu katibu wa BTM bomu kabisa jana kashangaza watu
Kwanza anadai watu waachane na Simba na Yanga ati ni nembo za Taifa. Mbona amkuingilia kati Stand United ni nembo ya TBL?
Mnashangaza...
UINGEREZA: Aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya soka ya Liverpool na timu ya Taifa ya Uingereza, Steven Gerrard atangaza ramsi kustaafu soka. Baada ya kucheza kwa miaka 14 mfululizo.
Aidha nyota...
Sina shaka kwamba kwa mwendo huu wa wababe BAYERN huyu kocha hana maisha , hii ni timu iliyozoea ushindi na kusomwa kwenye namba za juu sana .
Kipigo cha mwishoni mwa wiki kutoka kwa Borrusia...
Kati ya Wachezaji hawa Watatu ( 3 ) nitakaowaorodhesha hapa nitajie mmoja ( 1 )tu ambaye unajua ni mahiri, fundi na mtaalam wa ukweli kwa kucheza ' Soka ' :
Deco De Souza kutoka nchini Portugal...
Wachezaji Waliochaguliwa kuunda timu Ya Wiki Kombe la Mabingwa Ulaya baada ya Michezo ya J4 na J5 na Vilabu wanavyotoka...
1.Kipa
Hugo Lloris(totenham)
2.Mabeki
Nelson Semedo(Benfica)
Raphael...
Muendesha Mashtaka huko Hispania ametaka Mwanasoma mahiri wa Klabu ya Barcelona afungwe miaka miwili Jela na alipe faini ya Shilingi Bilioni 21.8 baada ya uhamisho wake kutoka Klabu ya soka ya...
Navyojua Azam mna mitambo mizuri, mikubwa na ya kisasa sana ila mnavyorusha mpira kule kaitaba mnaboa sana. Kamera haitembezwi kiwanja kizima, mda wote kamera iko na mpira masaa yote, hakuna kuona...
nimebeti mechi za wiki nzima hizo ha po ushauri kwa yeye ajuae mpira vizuri jamani nikishinda tuna gawana hata kidogo tu.
1: Borussia Dortmund - Legia Warszawa 1.09 Borussia Dortmund Win...
Naomba kujuzwa nisijepata dhambi kwa kumfikiria mtu vibaya ni bora kuuliza,huyu bwana ni msemaji wa timu ya simba nimekua nikifuatilia sana mahojiano yake na vyombo vya habari katika vipindi vya...
Kuna mtu jana aliapa kuwa endapo Ronaldo atafunga hat-trick kwenye Derby ya Madrid ataacha kushabikia Barcelona na ataunfollow wachezaji wote wa Barcelona Instagram sasa ivi ameumbuka ukimuuliza...
Kwa kifupi nimeanza kuangalia soka la majuu kwenye kuanzia mwaka 1994, na kwa kipindi hicho nimefanikiwa kuwaona nyota kadhaa wakichipukia hadi kustaafu mpira,
kifuatacho ni kikosi changu bora...
Club ya Ruvu Shooting imeitaka TFF kwa kushirikiana na Mamlaka husika kuchunguza uraia wa kiungo mchezeshaji wa Mabingwa watetezi Dar Young Africans Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima wakidai...
ALIYEWAHI kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Muda ya Yanga, Isaac Shekiondo ‘Clinton’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Taarifa ya familia imesema kwamba, marehemu amefariki baada ya kuugua...