Kutoka vyanzo vya ndani, kocha hans atachukua mikoba ya Bonifas mkwasa ya kuifundisha taifa starz
BENCHI JIPYA LA UFUNDI LA YANGA LITAKUWA HIVI
Kocha Mkuu : George Lwandamina.
Msaidizi ...
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu ameachana na klabu yake ya TP Mazembe ya nchini Congo DR baada ya kumalizika kwa mkataba wake.
Ulimwengu ambaye ameitumikia Mazembe kwa...
Imefahamika Shirikisho la Soka la duniani FIFA, limemzuia Kocha Mkuu mtarajiwa wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina kusaini mkataba wa kukinoa kikosi hicho huku akitimkia kwao jana usiku. Mzambia...
Timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini jana ilitwaa ubingwa wa soka Afrika kwa ngazi ya klabu kwa kuishinda Zamalek ya Misri 3-1.
Pamoja na jana kulala kwa bao moja kwa bila nchini...
Mshambuliaji Shiza Ramadhan Kichuya wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu wa 2015/2016.
Kichuya alionyesha kiwango...
Kwa mlioangalia game iliyoisha sasa hivi la liga mtakuwa mmepigwa na butwaa kumuona C Ronaldo akikosa magoli Mengi mno Leo yakiwamo matatu aliobaki yeye, kipa na goli,hivi ni nini kinachoendelea...
Mkutano Mkuu wa Yanga uliokuwa umepangwa kufanyika kesho Jumapili, Oktoba 23, 2016 unadaiwa kuota mbawa baada ya Mahakama kuupiga ‘stop’ kufuatia kesi iliyofunguliwa na baadhi ya wanachama kupinga...
Best new player Marco Asensio - Real Madrid
Best goalkeeper Jan Oblak - Atletico Madrid
Best defender Diego Godin - Atletico Madrid
Women top scorer - Jenipher Hermoso Barcelona Woman Team
Best...
Aliwahi kuhojiwa Ivan Rakitic Mchezaji wa Barcelona mzaliwa wa Croatia akakiri hakuna kazi ngumu kama kucheza na Wachezaji aina ya Messi,Neymar na Suarez
Ugumu wake wachezaji wa aina hiyo siyo...
Kocha wa Yanga raia wa kiholanzi ila sasa ikiishi Ghana ni mfano wa kocha wa kuigwa na makocha wetu wazawa.
Amewai fundisha timu mbalimbali kwao Holland,Ghana Uarabuni na Sasa akiwa Yanga,Akiwa...
Mkurugenzi wa Ufundi:Hans van der Pluijm.
Kocha mkuu:George Lwandamina.
Kocha msaidizi:Charles Mkwasa.
Kocha makipa:Manyika Peter.
Meneja wa timu: Sekilojo Chambua.
Shirikisho la soka duniani (FIFA) limetoa orodha mpya ya viwango vya ubora wa soka duniani, ambapo vinara wamesalia kuwa Argentina.
Wanafuatwa kwa karibu na mabingwa wa dunia Ujerumani, kisha...
Mjomba wangu ni mpenzi kichaa wa ligi ya uingereza. Amenitembelea na kwenye tv yangu hataki kitu kingine ila ligi ya uingereza. Nina king'amuzi cha startimes na nimelipia sh. 12,000. Je, ni...
Klabu ya soka ya Mamelod Sundowns imetwaa ubingwa wa klabu bingwa Afrika baada ya kuifunga klabu ya Zamalek katika mchezo wa marudio uliochezwa nchini Misri. Ikumbukwe Mamelod walisha mchezo wa...
Baada ya Tambo nyingi mapicha picha ya zile penalty na kuwaletea dharau wale jamaa WA uturuki,
Jamaa wakaamua KUSHTAKI kwa mtu wanaemuamini na jirani yao karibu na kwao brother Conte,kilichojiri...