Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mnyama leo kawatandika virungu 6-0 timu ya Polisi Morogoro, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza.. Na hii ni katika mechi yake ya kwanza ya kirafiki mkoani hapa Morogoro, kwa ajili ya maandalizi ya...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari wanajf, nimekuwa nikifuatilia sakata la kushindwa kwa Yanga kuendeleza uwanja unaodaiwa kuwa wao maeneo ya Jangwani unaopakana na jengo lao. Katika siku za hivi karibuni, mwenyekiti wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1. "Nitatenga bajeti ya Shilingi Bilioni 5 kwa mwaka kwa ajili ya kuendesha timu iwapo mfumo wa uwekezaji ndani ya klabu hiyo tutaukubali siku ya Jumapili." - Mo Dewji 2. "Nitakuwa tayari...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
ARGENTINA SEND DIEGO SIMEONE OFFICIAL OFFER SIMEONE OFFICIAL OFFER June 30, 2016 12:03 AM Atletico Madrid President has confirmed the club has received an offer from the AFA for Diego Simeone El...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa kutoka ndani ya timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA Simba, zinadai Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), imeamua kutosaini mkataba wa kuendelea kuidhamini Simba.. Ikumbukwe mkataba huo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la Mo Enterprise alikuwa anaimiliki club ya mpira ya African Lyon ndiye alikuwa anaifadhiri ikashuka daraja akaisusa, wanajua wenyewe walivyo pigana...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Kauzu FC VS Temeke Market Leo ndio kilele cha mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup ambapo utapigwa mchezo wa fainali kati ya Kauzu FC dhidi ya Temeke Market ‘Temeke Derby’ kwenye uwanja wa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mpira umejawa na rekodi zake kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja TUBADIRISHANE PIA NA TUPEANE UELEWA KWENYE HISTORIA NA REKODI ZA MPIRA[emoji460] WA MIGUU UNAYOIJUA. Mimi naanza na hii...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Itakuwa ni kituko cha karne kuamini timu yenye wanachama hai zaidi ya 5000 na mashabiki wa kutosha zaidi ya milioni 10 ,yenye mali nyingi za kutosha (pamoja na kwamba hazithaminiki) yenye historia...
3 Reactions
49 Replies
9K Views
usipate taabu kuwaza ni 'MKANDA WA KITI CHA NDEGE'
2 Reactions
22 Replies
5K Views
TIMU ya soka ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, leo ina kibarua kigumu dhidi ya vijana wenzao wa Madagascar katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa yakiwa ni maandalizi yao kabla ya...
1 Reactions
1 Replies
826 Views
Picha ya kwanza Moody kabwe Picha ya pili Yusuphu Manji Timu ni yetu sote tushikamane kuipa sapotr kwa pamoja kwani furaha ni yetu sote A) Moody kabwe B) Manji Nani unae mkubali zaidi humo??
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kesho Jumamosi Julai 30, 2016 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa mashindano ya kuibua na kukuza vipaji vya mpira wa miguu kwenye Uwanja wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Iv simba viongozi ilionao ndo mambumbumbu au? Walimuacha Tambwe akiwa ametoka kuwa mfungaji bora sasa hivi wanajutia Sasa wanamuacha Kiza kwa kejeli kibaa o kuwa walimuokota vijiweni!!! Jaman iv...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wazee wenzangu wa moja ya sekta ambayo hatukwepi kodi aka Mikeka poleni na jana lakini si wengine ni shangwe tu......
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni club ya Simba inatarajia kufanya mkutano wa club, moja ya ajenda ya kikao hicho ni kufanya maamuzi ya namna ya uendeshaji wa club ya Simba. Kuna baadhi ya wanachama wa club...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Timu ya Yanga inatarajia kurejea kwa mafungu ili kuepuka aibu ya kupoteza macho huko ugenini. Yanga ilifungwa bao 3 - 1 na timu ya vijana wa Ghana iitwayo Medeama.
0 Reactions
1 Replies
611 Views
kupata nyimbo mpya
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…