Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

A man has attempted to grab the Olympic torch from a torch bearer as it passed though Guarulhos, Sao Paulo. The unidentified individual tried to force his way through a line of police escorting...
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Kenya’s SportPesa signs sponsorship deal with Hull City Betting company’s chief says investment is ‘scaling of a Kenyan brand into the global market. Kenyan betting company SportPesa has...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Formed: 1909 Nickname: Die Schwarzgelben (The Black-Yellows) UEFA club competition honours (runners-up in brackets) • European Champion Clubs' Cup: 1997 • UEFA Cup: (1993, 2002) • UEFA Cup...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Anaongea kama mwenyekiti wa klabu, anaongea kama katibu mkuu wa klabu, anaongea kama kocha wa klabu na mbaya zaidi anaongea kama wale mashabiki wasiofuatilia soka ila ni mahili kupiga domo.jerry...
5 Reactions
74 Replies
9K Views
DEAL DONE: Pogba avunja rekodi ya uhamisho wa dunia kwa Kiingereza chao, Deal done. Yaani biashara imekwishamalizika. Watu wananyanyuka katika viti vyao, wanapeana mikono, wanakumbatiana...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanajamvi naombeni kuuliza toka mwaka huu uanze ,nasikia sana hili neno likisemwa (Kampa Kampa Kampa tena).Naombeni kuuliza mini ni nani alianzisha hili neno na lina maana na faidi ipi kwa jamii?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
The former Everton and Manchester United boss, 53, takes charge at the Stadium of Light after Sam Allardyce left to become England manager. "I have taken over a big British club, with a great...
1 Reactions
5 Replies
789 Views
Binafsi ni shabiki damu wa Klabu ya Simba. Ila napenda kuzungumzia swala fulani kwa jicho la kipekee kabisa ambalo mwana Simba wa kawaida hawezi kuliona. Hii leo tumeshuhudia Yanga SC ikiumana...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
The 61-year-old signed an initial two-year deal after compensation was agreed with Sunderland, whom he steered to Premier League safety last season. He succeeds Roy Hodgson, who quit after...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Soccer na mapenzi ni vitu ambavyo vinashabihiana sana sababu ni vitu ambavyo tunatumia akili na moyo katika kupenda na kuchagua Manchester utd walimuacha Paul Pogba wakiwa wanampenda na siku zote...
0 Reactions
2 Replies
881 Views
Nachukua nafasi kumwomba Waziri wa Habari Na michezo Mh.Nape aiingilie kati tabia ya TFF kuingilia chaguzi zinazifanywa Na vilabu hapa nchini.TFF iliyumbisha uchaguzi wa klabu ya Simba, TFF...
1 Reactions
3 Replies
759 Views
Manchester United have agreed a world record deal to sign Paul Pogba for €110 million, Goal understands. Officials from the Premier League club met with their Juventus counterparts earlier on...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Check out @ItsSoccerVines's Tweet:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TASWIRA NNE, WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ALIVYOFIKA NYUMBANI KWA MANARA KUMJULIA HALI MANENO YA HAJI MANARA, MSEMAJI WA SIMBA AMBAYE JICHO LAKE MOJA LIMEPATA TATIZO LA KUTOONA Waziri wa Mambo ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Yanga juzi wamekamilisha duru ya kwanza ya makundi akiwa wa mwisho kwa point 1 sawa na asilimia 11.11% katika point 9. Kwa kutumia madaraja ya ufaulu mapya ya form six inamaanisha yanga ana grade...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wadau, eti hivi ni vigezo gani hutumika kwenye kutoa tuzo ya ballon dor kwa mchezaji.
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Baada ya robo fainali kumalizika, sasa ni Hatua ya nusu fainali ambapo timu Nne zimebakia 1-Atletico Nacional* 2-Sao Paulo× 1-Independente del Valle 2-Boca Juniors Alfajiri ya leo Wamecheza...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanariadha wa Urusi hawatashiriki michezo ya Olimpiki ya mwaka huu huko Brazil. Kauli hiyo imeafikiwa na mahakama ya juu ya michezo ambayo imefutilia mbali rufaa iliyowasilishwa na kamati ya...
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…