Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

#MICHEZO: Klabu ya Wydad Athletic imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Sc Clement Mzize, imefahamika. Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco wameongeza dau la usajili...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Wachezaji Wana viwango vidogo lakini wanataka matokeo makubwa, hii inawalazimisha kuwaparamia wapimzani kitu kitakachowasababishia kupewa kadi nyingi zitakazowadhoofisha kwenye mashindano.
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi
8 Reactions
31 Replies
2K Views
1: Gattuso 2: Makelele 3: Edgar Davids 4: Roy Keane 5: Casemiro 6: Busquets 7: Vieira 8: Dunga 9: Deschamps 10: Kante 11: Mathaus 12: Rijkaard 13: Falcao 14: Redondo...
3 Reactions
71 Replies
1K Views
Kwenye maisha huwezi kufanya kila kitu, na huwezi kujua kila kitu , japo kuna vitu vidogo vidogo si mbaya kuvijua na kama huvijui jaribu kukaa kimya ili kuepuka na aibu. Mimi napenda sana michezo...
2 Reactions
15 Replies
776 Views
PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂 ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Baada ya kufunga magoli 900 na kuwa mwanasoka wa kwanza kufanya hivyo Cristiano Ronaldo amesema Timu yake ya Taifa kushinda Euro ni sawa na kushinda Kombe la Dunia tu, huku akibainisha kuwa tayari...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Nipo zangu saluni napunguza nywele zangu na low cut ndo staili yangu,mara anaingia mwamba mmoja,ile kuingia lawama zote kwa hispania. Alisikika akisema "Hispania jana wameniangusha kweli yani...
4 Reactions
18 Replies
837 Views
Hizi mpya kabisa, possibly amna mtu karipoti tanzania hii : utaona chawa wana ripoti after this post , I will be short : kocha mpya huyo from Morocco anakuja na benchi lake lote la ufundi...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Tunajua mbinu za yanga nje ya uwanja ni chafu na kali sana. Tutaendelea kuona wachezaji bora wa Simba wakiumia na kujitibia muda mrefu,ama wakicheza chini ya kiwango kutokana na mbinu chafu za...
13 Reactions
30 Replies
1K Views
Kabumbu la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAF Confederation Cup (CAFCC), hatua ya robo fainali kuendelea kutimua vumbi leo April 24, 2022 ambapo wenyeji Orlando Pirates anapambana na Mnyama...
26 Reactions
1K Replies
67K Views
Azam FC imeifunga Rhino Rangers goli 1-0 nakufikisha point 33 huku Yanga akiwa na pointi 32 na Mbeya City 31 huku Simba akibaki nafasi yake ya 4.
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC ulivyo mpaka sasa ni dhahiri moja kwa moja bingwa wa NBC msimu wa 2021/22 ni Young Africans SC
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mpaka leo Jumatano Machi 16, 2022 katika mzunguko wa 17 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC PL 2021/22), kikosi cha Yanga kimeongoza kwenye takwimu muhimu nne. ● Magoli ya kufunga – 29 ● Magoli ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa hali ilivyo Jana Yanga kushinda mechi Ngumu dhidi ya IHEFU ambapo haikuwa na nyota wao wengi hii imefuta ndoto za SImba kuwa bingwa Msimu huu. Yanga wana mechi Tatu za Ugenini Singida...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL, Kuendelea kupigwa leo July 11, 2021 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC, wanawakabili Wagosi wa Kaya, Coastal Union, kunako Dimba la...
12 Reactions
204 Replies
14K Views
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Yanga ana pointi 83, amebakisha mechi 2. Simba ana pointi 85 amebakisha mechi nne. Simba akifungwa mechi tatu akashinda moja atakuwa na pointi 88. Yanga akishinda mechi zake mbili zilizobaki...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Game On... Uganda on lead 14' Foster anawapatia South Africa Goli la kuongoza. HT 1-0 ================= Kipindi cha pili. 45' Mpira umeanza kwa kasi kidogo, umiliki kwa Uganda. 51'...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…