Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

kwa kule spain utakuta formation ya Barcelona kwenye ushambuliaji ni MSN na ukienda Real Madrid utakuta ni BBC. sasa nauliza kwa hii timu yetu ya Tanzania ni formation ipi kwenye upande wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Anaitwa Kassim Manara...fundi wa mpira aliyecheza Borussia Dortumund miaka ya 1970...Olympiakos wakamtaka wakashindwana naye maslahi. source Edo kumwembe facebook page
1 Reactions
23 Replies
11K Views
March 21 mwaka 1980 Mzee Joao Moreirra na Mkewe Bi Miguelina de Assis walifanikiwa kumzaa mtoto ambaye baada ya miaka kadhaa kupita alifanikiwa kuja kuwa Nabii wa mwisho wa kizazi cha Soka...
9 Reactions
175 Replies
26K Views
Gwiji wa soka raia wa Uholanzi Johan Cruyff amefariki dunia leo hii jijini Barcelona akiwa na umri wa miaka 68, Mshambuliaji huyo wa zamani wa vilabu vya Ajax na FC Barcelona alikuwa akisumbuliwa...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Ni timu ambayo imeibuka ghafla katikati ya msimu huu wa ligi kuu ya england 'EPL' Je ina mashabiki hapa kwetu?
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Hili ndilo gori la mbwana sammata VIDEO: GOLI LA MBWANA SAMATTA DHIDI YA CHAD JANA | .
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Maana unapost vitu vya ajabu ajabu tu, jana tumempiga chad bao moja, alafu unapost eti full time Chad0-0Stars... Siamini kama ni account yako. Ebu toa ufafanuzi, otherwise wewe ni jipu na TFF si...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eti wakuu , kuna haja gani kuendelea kuwa mshabiki tuu Wa Simba au Yanga wakati kuna option ya kuwa mwanachama hata kama uko mikoani ??? Kwanini usichukue hatua ya kuwa mwanachama kamili upate...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu nina swali ambalo kila muda linaniumiza kwenye maswala ya mpira hivi ni kwanini katika klabu bingwa Africa team za kiarabu zinamaliziaga mechi zao nyumbani unless zikutane zenyewe kwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuliwaamini sana Supper Sports ya South Africa kwenye soka wakitumia mwanya wa sheria zetu kudhibiti vituo vya television. Sasa hawa jamaa wa Bidvest Wits wanatuambia eti mashindano ya CAF...
1 Reactions
5 Replies
845 Views
CHAD VS TAIFA STARS Date:23.3.2016 Time:15hours EAT Timu ya Taifa Stars leo itakuwa uwanjani kupambana na timu ya Taifa ya Chad kwenye kombe la mataifa Afrika Nahodha mpya wa Taifa Stars ya...
1 Reactions
166 Replies
28K Views
Huo ndo ukweli, Barcelona Fc haina mashabiki wa kweli kutoka Afrika. Wengi ni VIHEREHERE TU, wasio jitambua na waliokuwa HEART BROKEN kwa timu zao za EPL kufanya vibaya. PNC anajua hili, yaani ni...
3 Reactions
59 Replies
4K Views
mbwana sammata katupia 1 chad 0 dakika 44
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Katika Hali Isiyokuwa Ya Kawaida Msemaji Wa Klabu Ya Simba Haji Manara Leo Ameamua Kumpiga Vibaya Sana Kwa Knock Out Msemaji Wa Klabu Ya Yanga Jerry Muro Baada Ya Ubishani Mkubwa Wa Ni Timu Gani...
14 Reactions
167 Replies
32K Views
Wale waliongalia na kufuatilia jana Bayern Munich walichoifanya Juventus......je tunaweza kusema Pep ni kweli the best coach in the world? jana nilifuatilia mitandao wakati Juve ana lead 2-0...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
WHAT A HUSBAND NEEDS FROM A WIFE IS NEVER SEX. Sex is an important element in marriage and until there is sexual intercourse between a husband and a wife, the marriage is not yet spiritually...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
p { margin-bottom: 0.1in; line-height: 120%; } Nimewahi kusema tunaitaji viongozi wenye uchungu na timu wasio na njaa za dunia Janaa nikiwa na timu yanguu nilishuhudia jerry muro akisimama...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Inaonekana kwa sasa ni kuwa ubingwa was EPL ni mbio za farasi Wawili; Leicester city na Tottenham! Nani kati ya hawa unadhani ataanza kudondosha pointi? Mechi mbili zijazo kwa Tottenham atacheza...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa sisi watoto wa zamani tulikuwa na kumuona mchezaji 'acrobatic' wa Brasil enzi hizo Galincha. Nimekuwa navutiwa na staili ya mchezaji kama huyo hapa nchini kama Ibrahim Ajib Migomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…