Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Linex - Kwa Hela (Official Video) Msanii wa Tanzania Linex ameachia wimbo mpya unaitwa “Kwa Hela” ambao umetaarishwa na Producer Ema The Boy, Wimbo huu imepangiliwa kwa ustadi wa hali ya juu...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Hemed Kivuyo kwanza style yako ya utangazaji ya kuanza na SIMULIZI ZISIZOELEWEKA kwa wengi ni kama unatwanga maji kwenye kinu. Pili, umeshindwa kuficha unazi wako ktk matangazo yako na kwa kigezo...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Dakika kumi zijazo mechi hiyo ya CECAFA (kati ya Tanzania na Kenya) itaanza kuchezwa uwanja wa Taifa wa zamani. Tutawaletea live show (via texts) hapa hapa. Ahsante
0 Reactions
106 Replies
13K Views
Arsenal aliishinda kwa taabu Lecester City wiki ilopita japo wale madogo walikua pungufu,Mancity amepigwa kirahisi mechi 2 mfululizo,Bingwa wenu bado anaburuzwa kwenye msimamo wa ligi yenu,Chelsea...
2 Reactions
72 Replies
6K Views
Pengine rekodi zifuatazo zinaweza zikawapa hasira zaidi mashabiki wa ‘Mnyama’ na hata kuwataka Viongozi wao kuhakikisha kuwa wanafanya kila linalowezekana ili timu yao hiyo iwe bingwa wa VPL...
0 Reactions
16 Replies
25K Views
Ndugu wajuzi wa mpira au watu mnao fuatilia masuala ya mpira, hivi nikweli kuwa ligi kuu ya uingreza wana tumia mpira mmoja tu kwa mechi? Kwamba mpira ukitoka nnje unasubiriwa huo huo hadi...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Jisomee mwenyewe, mii nimeitoa kule! Be afraid, famous people. Be very, very afraid. When Aaron Ramsey scores for Arsenal , celebrity lives are in danger. After the Welsh midfielder scored the...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye ratiba EPL aimwage hapa wadau khalfanshaban@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
506 Views
nimesikitishwa na kupoteza mechi ya leo, ila sio kesi hawa golden state have to pay for it #gothunders
0 Reactions
1 Replies
554 Views
Kibao kikali Collabo ya Active (Rwanda) ft Barnaba Classic (Tanzania) song : Amafayeri Amafiyeri by Active ft Barnaba(Official audio 2016) Source: AFRIFAME
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Binafsi naenjoy sana kuwasikiliza H_art the band kwa sasa
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Timu zinaingia Sasa uwanjani.
1 Reactions
155 Replies
14K Views
Wadau wa michezo na wafuatiliaji wa ligi yetu vpl ni wazi wanajua nini kinaendelea j mosi ni siku ya kuanza kutabiri japo kwa asilimia 48 nani atakua bingwa 2015/2016 kule mchangani mtanisamehe...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Dakika ya 70 Twiga Tanzania 1- Zimbabwe 2
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa wikiendi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, huku timu nane zikichuana kusaka nafasi ya kuingia...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Baadhi ya mashabiki wa simba waliojitokeza kuisapoti Yanga hiyo jana.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wanaopenda kuangalia mechi mbalimbali online mnaweza kupata kupitia linki hapo chini http://livefootballvideo.com
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu habarini! Tanzania katika mpira wa miguu tuna Timu za taifa kadhaa,ikiwemo Taifa stars,Twiga stars kwa upande wa wanawake na vijana chini ya miaka 21 Katika timu ya Twiga stars kuna kitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…