Mchezo wa mpira migu ni mchezo pekee dunia usiokuwa na udini wala ukabila wala unaguzi warangi'
Na moody kabwe'''''''''''''''''''
Wadau wa mchezo wa mpira wa Miguu duniani huwa tunakutana pamoja...
Kila la heri timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, lakini ukiachana na ahadi ya zawadi ya Shs. 300,000 kwa kila mchezaji, swali lililo kubwa ni iwapo timu yetu imepata dawa ya kuifunga Zimbabwe...
Hatimaye mchezaji mtanzania anayekipiga krc genk Mbwana Samatta amefunga goli la kwanza tokea ajiunge na timu hiyo ya ubelgiji. Samatta amefunga goli hilo kwenye mechi ya leo dhidi ya club brugge...
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanawake ya Zimbabwe, inatarajiwa kuwasili leo Alhamisi mchana wakiwa na msafara wa watu 29, wakiwemo wachezaji 20 pamoja na viongozi 9 tayari kwa ajili ya...
Habari zenu wakuu
Naomba kwa mtu yeyote mwenye video za mazoezi naomba anitumie, nafanya mazoezi kila asubuhi kama nitapata video za mazoezi mbalimbali itakuwa vyema.
Jioni njema
Mshambuliaji wa TP Mazembe atajiunga na KRC GENK ya Ubelgiji baada ya timu hiyo kumnunua kwa yuro milioni 2.5 sawa na karibu billion 6 za Kitanzania
SIMBA pia itanufaika na mauzo hayo kwa kuwa...
Habari wakuu.
Nimeanzisha uzi huu mahususi kwa wale wapenzi na washiriki wa marathons mbalimbali, kupeana ushauri, na uzoefu wa ushiriki. Kwa mfano next week kuna Kilimanjaro marathon, tarehe...
Hatimaye Mtanzania mwenzetu Emanuel Ganiki Gisamoda,jana alitutoa kimasomaso ktk mbio za Nyika za "KUNMING PLATEAU HALF MARATHON" huko nchini China.
Gisamoda alitumia muda wa saa 1:04:02...
Wababe wa France Ligue 1 nchini Ufaransa wakiwa ugenini jana walikubali kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa timu ya Lyon katika uwanja wa Stade DE Lyon. ligi toka imeanza msimu huu Paris - Saint German...
Mbwana Samatta kwa sasa maisha yake ya
soka yamebadilika kwa kiasi kikubwa sana
ukilinganisha na alivyokuwa TP Mazembe pale
nchini Congo DR. Kwa sasa ameanza maisha
mapya nchini Ubeliji tangu...
February 28, 2016
Antananarivo, Madagascar.
Gor Mahia were tossed out of Caf 2016 Champions League after going down by a solitary goal to CNaPS of Madagascar in the return leg played away on...
Mpira umemalizika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Yanga wameifyatua klabu ya Cercle de Joachim ya Mauritius mabao 2-0, hivyo kusonga mbele kwenye raundi ya kwanza ya Ligi ya...
Tamko hilo limetolewa hii leo na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa wanajangwani hao Jerry Muro wakati akitoa salam za pongezi kwa wachezaji, benchi zima la ufundi na wanachama kwa...
Nimecome close kwa prediction niliofanya 3 hours ago. Nilipredict barcelona wangeshinda kwa bao mbili au zaidi na kutakua na red card. Nadhani nimefeli kwa asilimia ndogo
Tazama apa