Nimekua nikifuatia station hizi mbil E FM na Clouds katika vipindi vya Michezo.
Kunatokea ubishani mtaani ni wapi wakali wanaofunika kwa kuchambua michezo na kuhoji makocha viongozi wa timu pia...
WAKATI ambapo Yanga ya Tanzania na Vital’O ya Burundi zinacheza nyumbani Jumamosi hii Februari 27, 2016 zikihitaji sare tu kutokana na ushindi katika mechi zao za kwanza za Ligi ya Mabingwa...
Tumemsikia Muro Jana akitamba pamoja na mambo mengine akionyesha kuwa Yanga ni club yenye uwezo wa kifedha kuliko Simba tena kwa lugha ya dharau kubwa.
Anachoshindwa kuelewa in kuwa Yanga pamoja...
Jana kuna mtu alipiga kelele hapa akiiponda ligi ya spain la liga na kuipaisha ligi ya england tukamuelewesha kiwango cha epl akakataa katakata na kuleta 'ushabiki'sasa leo afuatilie line up ya...
Habari wanaJF
Najiuliza swali kuhusu hawa wachambuzi wa michezo kwenye TV zetu kama Azam TV
Je, ni kweli kwamba mchambuzi mmoja anaweza kuwa na uelewa wa kuchambua michezo yote nikimaanisha...
Wakuu yamebaki masaa kadhaa tu wakali wa Dar na Afrika Mashariki waingie katika mtanange wa kukata na shoka mishale ya saa kumi jioni. Kimuhemuhe cha kufa mtu mitaa ya Msimbazi na Jangwani huku...
Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki baada ya...
Katika hali ya kusikitisha kabisa rais wa TFF ametumia nafasi yake kuongea na media kujibu watu tunaomkosoa.
Malinzi ameweka wazi kuwa anatukanwa JF(Jukwa la Sports).
Sisi wanamichezo wa JF...
10- Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam huu ulijengwa kwa dola milioni 53 na nusu ya hela za ujenzi huo zilitolewa msaada na serikali ya China. ulifunguliwa mwaka 2007 na unauwezo wa kuchukua mashabiki...
MATCH CALENDAR
Stage
Dates
First qualifying round, first leg
30/0601/07/15
First qualifying round, second leg
0708/07/15
Second qualifying round, first leg
1415/07/15
Second...
Shirikisho la Mpira wa Kikapu ( NBA) litazindua rasmi msimu wa kwanza wa ligi ya mpira wa kikapu kwa vijana kwenye kituo cha vijana cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dar es Salaam mnamo...
Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye...
There will be a mega crusade this evening and the venue is at the Emirates stadium. Pastor Neymar will preach the word of football ,Bishop Suarez will anoint Arsenal players and Pope messi will...
Arsenal karibia ibahatike na zawadi ya kushangaza kutoka kwa mshambuliaji wa kilabu ya Barcelona Luis Suarez baada ya mchezaji huyo kuwacha pasipoti yake nyumbani kabla ya timu yake kuondoka...
NDOTO za Yanga kuingia kwenye ushindani wa kuwania mamilioni ya fedha zinaweza kupata mwanzo mzuri Jumamosi, Februari 27, 2016 ikiwa wataing’oa mashindanoni Cercle de Joachim ya Mauritius katika...
“I’m so happy giving this houses free to my constituents in Sarangani Province from my own pocket more than thousand families are the beneficiaries, and
i’m still building more because i always...