Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Azam Kwa usajili walifanya kuwaleta wa Colombia tulidhani watatoa changamoto Kwa Yanga kumbe ndo Iko uji hivi. Azam fc wamekata tamaa Wanacheza kama wachovu Kweli kweli. Azam hawezi kupiga pasi...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Waafrika tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipotakiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya Kusini iliowafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao. Ndio maana hata timu yao ya Taifa...
13 Reactions
99 Replies
5K Views
Jaman kuna miujiza hii dunia haisemeki mnakumbukaga jaman zile jezi feki wakatuambia za mabil na ma tv yakaonyeshwa Akatoke mh mmoja sijui kama yuko madarakan akasema hizi jezi tra wazizuie...
3 Reactions
6 Replies
359 Views
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa kiume katika historia kufunga magoli 900 kwenye mechi rasmi. Amefikia rekodi hii ya kihistoria katika mechi ya UEFA Nations League kati ya Ureno na...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana michezo miwili pekee ya kuokoa kibarua chake. Man United...
2 Reactions
7 Replies
544 Views
Duke Abuya Vs Prince Dube. Game On... 33' Mpira unaendelea kwa kasi sana. Duke Abuya kiungo anaubonda sana leo 35' Kenya wanajitahidi kufika kwenye lango la Zimbabwe wanakaa imara pale. 36'...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Watanzania wengi wamekariri Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team. Ethiopia ni hivi majuzi kampiga...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Mpira ni Science na profession kama zilizo udaktari, ualimu, uhasibu uinjinia na nyngne nyingi kwahyo kuamini kwenye ngonjera na siasa za hapa na pale hakuta lisaidia Taifa kimpira. Jambo la...
7 Reactions
8 Replies
458 Views
Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka...
1 Reactions
9 Replies
543 Views
Last year tumechezaAFCON na kikosi hiki hiki . Watanzania acheni siasa kocha asepe tutafute kocha mpya, kocha hana uwezo shida yetu ni kuprogress AFCON sio kuingia AFCON acheni siasa I will be...
1 Reactions
4 Replies
312 Views
Sio kitu rahisi kuamini ili ilikuwa ni dua zangu kwenye mkeka wangu. Ambaye mpaka sasa hivi kabakia Algeria naombeni ushauri wa mikeka je ni cashout?
0 Reactions
12 Replies
591 Views
Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari wanajamvi ,wale wapenzi na watumiaji wa ving'amuzi vya canal plus tukutane hapa na kupeana updates hasa kuhusu matangazo na ratiba yao ya mpira na vipindi vingine. Leo taifa stars inacheza...
3 Reactions
62 Replies
13K Views
Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa nyuma kimpira ikishika nafasi ya zaidi 120 duniani, hakuna maendeleo mazuri timu ya taifa na wahusika wapo tu ni kama tumeridhika na hiyo nafasi tuliyonayo. TFF...
7 Reactions
15 Replies
674 Views
Kuna ulazima wa serikali kuingilia kati hata kushauriana na TFF hasa suala hili la mpira. Ilikuokoa timu ya taifa, mimi kwa mtazamo wangu tungeanza na kupunguza wachezaji wa kigeni angalau hata...
1 Reactions
17 Replies
654 Views
Katika timu sijawai kuelewa selection ya kikosi basi ni hiii.timu imejaa wachezaji wa bench tu Timu mbele selection ya kikosi zero, Kibabage na Msindo ni mawinga.? Ligi yote tumekosa mawinga wa...
0 Reactions
4 Replies
350 Views
Habari ndugu zangu, Kundi letu lipo wazi mno.. ( Tanzania, DRC, Guinea na Ethiopia) Ngoja niwakumbushe jambo, kuelekea Afcon ya 2019, Tulianza na kocha mzawa Salum Mayanga. Tukadroo 1-1 mchezo...
4 Reactions
9 Replies
594 Views
Japo China hana mpira mkubwa sana lakini hii iko ndani ya Kila mchina kuwa hapendi kupigwa au kupitwa na mjapani Hawa ni washindani wa kudumu Hapa naangalia namna Japan anampiga china najua viunga...
4 Reactions
10 Replies
577 Views
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or. Messi alishinda tuzo huyo...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka jana Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna Msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara.
1 Reactions
18 Replies
919 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…