Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hakika leo ifikapo 10:45 pm tutashuhudia soka la nguvu UEFA pale ambapo Timu nne zitakapopambana katika mchuano huu wa 16 bora, kazi ipo jamani hasa hapo Emarate stadium? Ni nini utabiri wako?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Poleni sana wanasimba. Yanga wameshashinda bao mbili. Simba wamekosa mabao ya wazi kabisa. Inasikitisha lakini hali ndo ipo hivyo. Mchezo umeshaisha kabla haujaanza na hii ndo sifa ya mpira wa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Wanajamvi wengi wamezowea kuniona kule MMU lakini nimekuja huku nikitatizwa na mambo haya huku nikihitaji kupatiwa ufumbuzi wake:- 1- ktk ligi ya Uingereza pale wachezaji wanapotoka vyumba vya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika Hali Isiyokuwa Ya Kawaida Na Ya Kutia Aibu Kabisa Soka La Tanzania RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA LA TANZANIA ( TFF ) JAMAL MALINZI Amehusika Katika KASHFA KUBWA YA UPANGAJI MATOKEO YA MCHEZO...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Wakuu yamebaki masaa takribani 16 kipenga kipulizwe kuashiria mtanange mkubwa kuanza kati ya Simba na Yanga zote za Dar. Mbali na kuwa ni watani wa jadi timu hizi zina historia kubwa katika mpira...
2 Reactions
734 Replies
77K Views
Fm academia - Dada wewe (official HD Video) Genre: Muziki wa Dansi Location : Dar-es-Salaam, Tanzania Source: FM ACADEMIA Wazee wa Ngwasuma youtube
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hakuna kipindi kizuri ambapo Simba na Yanga zinakutana kama sasa ambapo macho na masikio ya wapenzi wa soka la Tanzania, Afrika Mashariki na Kati yataelekezwa katika dimba la Taifa kuanzia majira...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Juzi majaliwa alikuwa anazungumza mambo mbali mbali kuhusu Mpira na michezo kiujumla tukumbuke pia kuwa majaliwa ni kocha wa football na mwanachama wa TAFCA... watu wengi wanafikiri Majaliwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanamama kuchezesha pambano la Simba na Yanga Mwamuzi mwanadada anayeongoza kwa kumwaga kadi, Jonesia Rukiyaa ndiye atakayechezesha mechi ya watani Yanga na Simba. Mwanadada huyo kutoka Kagera...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Bingwa wa ndondi, mbunge na raia wa Philipiness Manny Pac amevunjiwa mkataba wake na kampuni ya Nike baada ya yeye kuwafananisha watu wanaoshiriki matendo ya ndoa ya jinsia moja kama "wanyama"...
6 Reactions
120 Replies
15K Views
Ni aibu kuwa mtumwa wa jambo usioliamini au kulikubali
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ujumbe unajieleza apo juu huyu jamaa nazani kila mmoja anamkumbka huyu jamqa enzi zile hakna live kwenye tv. Simba vs yanga. Ila kwa sasa na mda mrefu simsikii mwenye uwezo wa kufaham alipo na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Moja kati ya habari kubwa weekend iliyopita ni penati ya Lionel Messi na Luis Suarez. Jana nilikupa story kwamba Neymar amelalamika kwamba ilibidi iwe penati yake na Suarez alikimbilia tu kupiga...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kama mwanamivhezo napenda nikujulishe kama ndugu Wa karibu KWA Mara yakwanza serikali inaanza tumbua majipu ya michezo Wahusika zaidi n wale wanaouza tkt nje ya mabasi ya TFF NA WALE WANAOUUZA...
0 Reactions
3 Replies
857 Views
Upatikanaji wa jezi na vifaa vya Simba wasogezwa karibu Klabu ya Simba leo imeanza rasmi utekelezaji wa kampeni yake ya uuzwaji wa jezi pamoja na vifaa mbalimbali venye chapa ya Simba, ikiwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametengua nafasi ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo, Henry Lihaya na sasa nafasi hiyo itashikiliwa na Mohamed Kiganja. Nnauye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UMAMOSI hii Februari 20, 2016 bingwa wa ‘kucheka na nyavu’ wa miaka yote Uingereza, James Peter ‘Jimmy’ Greaves, atakuwa anasherehekea miaka 76 ya kuzaliwa kwake, lakini kwenye Uwanja wa Taifa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Christian Ronaldo ni kama amewajibu kwa vitendo wanahabari wale ambao jumanne alikataa kuendelea kuongea nao pale alipoulizwa kuhusu ukame wa magoli ya ugenini. Goli lake la 33 la Musimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Image copyright AP Katika Uwanja wa El Molinon Lionel Messi amekuwa mchezaji wa kwanza kufikia bao la 300 katika La Liga pale ambapo amepachika mabao mawili dhidi ya Sporting Gijon. Katika mechi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau ninaweka kama ambavyo nimeikuta kwenye ukurasa wa Vodacom Tanzania. "Nani zaidi? Nani anaweza kuongea kwa zaidi ya saa 1 deilee akijisifu kuhusu timu yake? Usikose mechi kali ya watani wa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…