Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Masaa 48 baada ya Victor Osimhen kutangazwa kama mchezaji mpya wa Galatasaray, Napoli imepoteza zaidi ya wafuasi milioni 1.2 kwenye Instagram baada ya Victor Osimhen kuondoka katika klabu hiyo...
2 Reactions
3 Replies
491 Views
Kila la Heri Taifa Stars. WAPAPAMBANAJI WETU WA LEO.
12 Reactions
370 Replies
11K Views
Asalaam Aleikum Wanajukwaa,Natumai wote mko poa na mnaendelea na harakati za maisha ya kila siku. Niende moja kwa moja kwenye pointi ya MSINGI ambayo ni Timu ya Taifa ya Tanzania yaani TAIFA...
2 Reactions
17 Replies
417 Views
Timu ziko nyingi kwanini iwe wasemaji wa Azam, Simba na Yanga tu wahamasishe timu ya taifa? Kama ni kwaajili ya kuwa na mashabiki wengi lakini kuna ushahidi gani kuwa Azam ina mashabiki wengi...
4 Reactions
22 Replies
896 Views
Inasemekana Mieleka ni maigizo yenye uhalisia🤨 Mzungu ameweza kuyaaminisha macho ya watazamaji kila kinachoonekana ni kweli😅 Wanatengeneza pesa ndefu sana kwa ile drama yao, Tatizo Lipi hapo kwa...
6 Reactions
8 Replies
598 Views
Taifa stars siyo team ya wanasiasa ni mali ya Watanzania wote Taifa stars sio team ya kukutafutia Kiki na uchawa wa kijinga, Wanasiasa mnawapa pressure wachezaji wetu Kwa ahadi za mapesa hadi...
3 Reactions
17 Replies
617 Views
Mpira wa miguu ni mchezo maarufu na wa kusisimua unaounganisha tamaduni na mataifa. Timu ya taifa ya Mpira wa miguu inaweza kutumika kama kichocheo cha kukuza fahari na mshikamano miongoni mwa...
2 Reactions
11 Replies
799 Views
leo nimeota TEAM ya taifa stars itaibuka na ushindi wa(GOALS 3-1) dhidi ya TEAM ya taifa ya Ethiopia. Na miongoni mwa izo(GOALS 3) MZIZE atatupia chuma mbili (2GOALS)
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Maoni ya mashabiki baada ya Timu yao kutoka sare na timu ya Ethiopia katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 Pia soma:FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium...
2 Reactions
6 Replies
387 Views
Taifa dogo changa lililopatikana kwa misukosuko na vita Kali la Sudan kusini limegeuka kimbilio la wale wasudani (waarabu)wa kaskazini ambao kwa Sasa dunia imewaacha wanyukane hadi bingwa...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
maoni ya mashabiki baada ya Timu yao kutoka sare na timu ya Ethiopia katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Simba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi. Najiuliza hawa...
4 Reactions
76 Replies
2K Views
Kama mnatoa ruzuku kule Baraza la Michezo la Taifa BMT na wizara ya michezo inapata pesa za kuendesha timu za taifa iweje watanzania walipie kuona matches za timu yao ya taifa . Kama mnalipia...
4 Reactions
4 Replies
430 Views
Baada ya uvumi wa muda mrefu kuwa Mo Dewji, rais wa Heshima na Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu haziivi hatimae washikana Mikono. Soma Pia: Mangungu amjibu Mo Dewji: Simba SC...
2 Reactions
13 Replies
966 Views
Mshambuliaji kinda mzoefu wa miaka 20, Clement Mzize, ameonekana kuwa hatari katika kikosi cha Yanga, akionyesha kiwango bora katika mechi za kirafiki na mashindano. Sifa zake za uchezaji...
2 Reactions
20 Replies
905 Views
Nawaza kuanzisha mashindano ya mchezo wa draft kitaifa. Ni mchezo ambao vijiwe vingi upo na kila kijiwe kina mbabe wake. Na ni mchezo unapendwa na wengi. Swala ni kuandaa proposal nzuri ili ipate...
2 Reactions
2 Replies
613 Views
Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez (37) ametangaza rasmi kustaafu soka la Kimataifa WASIFU WA LUIS SUAREZ KATIKA TIMU YA TAIFA URUGUAY Jina Kamili: Luis Alberto Suárez Díaz Tarehe ya...
1 Reactions
4 Replies
644 Views
Wachambuzi na watangazaji wa mpira fahamuni kocha sio sawa na mwalimu, kocha ni zaidi ya mwalimu. Mnapomuita au kumfananisha kocha na mwalimu mnakuwa kama watu makanjanja wasio na weledi katika...
3 Reactions
2 Replies
483 Views
Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars unapenda kuwajulisha wadau na mashabiki wetu kuwa tumeona taarifa zinazosambaa kuhusu maslahi ya mchezaji wetu Israel Patrick Mwenda tuliyemsajili msimu huu...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
1 Reactions
13 Replies
619 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…