Erling Haaland ameweka rekodi kuwa mchezaji wa kwanza kwenye historia ya EPL kufunga mabao 70 mapema zaidi.
➜ 69 - Games.
➜ 70 - Goals scored.
Ni wachezaji wawili pekee kwenye historia...
Kauli hii imezungumzwa na Msemaji wa Yanga Ali Kamwe kwa niaba ya wasemaji wengine “Sisi ambao ni vilabu na ambao ndiyo wanufaika sisi Yanga, wenzetu Simba na Azam inatakiwa tumsapoti mama kwa...
JE UNAMJUA STEPHANE AZIZ KI, AMETOKEA WAPI?
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
Stephane Aziz Ki, kiungo wa Day Young Africa anayevalia jezi namba 10 mgongoni, amezaliwa tarehe 6 March 1996...
Hii umeona wapi!? Kocha wa taifa. Ana kuwa pia kocha wa team ya league at the Same time.
TFF watoe majibu?
Pichani ni makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Suleiman ‘Morocco’...
Usajili ni mkubwa lakini timu haiko vizuri kusema ukweli. Hata nafasi hii ya kucheza CAF championship ilitokana na TFF kuruhusu Tabora united yenye wachezaji 8 uwanjani kucheza na Azam na...
1. Aishi Manula amebadilika na hasa anapowaiga Mussa Camara na Diarra kutembea na mpira, anastahili mkataba mpya
2. Kapombe jamani amepungua sana kama sio umakini wa Manula leo ingekuwa aibu
3...
Na Mwandishi Wetu, Manyara
Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited imeshiriki na kudhamini Matembezi maalumu ya kuhamasisha Wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la...
Watu wengi wameandika kuwakosoa lakini hii ni ishara kuwa mmefanya kitu kizuri machoni pa watu.
Maboresho mnayoendelea kuyafanya kila Mwaka yanatia matumaini ya kufika mbali zaidi kuliko...
FT
Chelsea 1 - 1 Crystal palace
Hii timu ilishajifia kitambo ila kabla ya game jinsi inavyosifiwa mitandaoni unaweza dhani ni Young africans sc inacheza, kumbe kiuhalisia ni ukolo mtupu...
Ukweli ni kwamba safari ya kwenda chini imeshaanza! Hata kama bado wako juu juu lakini ni suala la muda tu, watajikuta wako chini. Wenzao wako kwenye safari ya kwenda juu!! Wahusika pande zote...
Vuvuzela ni vitarumbeta vilivyobuniwa Afrika ya kusini wakati wa mashindano ya FIFA world cup 2010 kwa ajili ya mashabiki kutumia wakati wa kushangilia mchezo. Baada ya hapo vikasambaa duniani kwa...
I salute you kinsmen
Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR.
huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia...
Kumbe unaweza kuburudika kwa kutazama futbol bila hata mechi za EPL.
Binafsi nilikuwa natamani sana EPL ingekuwemo kwenye king'amuzi cha Azam lakini ndiyo hivyo tena.
Pamoja na kukosekana kwa...
Tumeona Leo vijana wenu Wenye umri mdogo wakicheza mechi ya kirafiki na al hilal ya Sudan, tumeona timu yenu kimbinu na kiufundi ilivyo!
Al hilal awa wamepungua ubora wao kwa kiasi kikubwa sana...
Anaitwa Moussa N'Daw Msenegal ambaye aliwahi kuwa Striker hatari sana wa Wydad ac na Al hilal ya Saud Arabia. Pia amewahi kuwa Manager msaidizi pale Wyadad Ac 2021/22. Yaani ile Wydad ya moto...
RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL)
CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC
Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance
Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC
APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC
Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi...
Tenga muda chukua wachezaji wako wote uwe unapita kuwa pitisha kwenye viwanda vyako ili waone hela ya mshahara wao inavyopatikana na unapokuwa unawapeleka usiongee nao chochote we nyosha tu vidole...
PACOME NI NANI, AMETOKEA WAPI, NA ANA SIFA ZIPI ZINAZOMFANYA KIWIKA KATIKA SOKA LA TANZANIA
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
Peodoh Pacome Zozuzoua kiungo mshambuliaji wa klabu bingwa...