Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Sisi wanasimba tunajivunia sana kocha wetu huyu Fadlu Davids. Tunaomba uongozi umuache aendelee kukinoa kikosi chetu kwani tuna Imani naye...
Huyu kocha Morocco tumwangalie vizuri, anashida ya ku chagua kikosi. Feitoto ni nuksi timu ya Taifa. This is known.
Next time tunamwomba Awesu Awesu. Achana na Fei toto. International games...
Dullah Makabila na Manara wana uhasama mkubwa. Manara alimwoa aliyekuwa mke wa Dullah Makabila (zaylisa) huu mzozo ulikuwa mkubwa hadi Makabila akatunga wimbo wa kumkejeli Manara wa mzungu pori...
Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye...
Tayari Azam wameshaachana na kocha wao na benchi la UFUNDI kutokana na matokeo yadiyoridhisha.
Jambo Kama hili wengi walilitegemea kutokana na uwekezaji uliofanywa na matokeo wanayopata.
Mtazamo...
Winga wa Manchester United amekamilisha usajili wa mkopo wa msimu mmoja kwenda Chelsea, mkataba ukiwa na sharti la kuwa wanaweza kumsajili kwa Pauni Milioni 23 ikiwa ni miaka mitatu tangu United...
Watanzania wenzangu, ngoja nibaeleze.
Kutoka kwenye Vyombo vya habari-
FIFA itatangaza ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026™ leo Jumapili, tarehe 4, mwezi wa 2 2024 saa Tano usiku...
Je Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama
Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza ?
Je Pesa za usajili za GSM ndizo zinafanya tusimuelewe...
Tuanzie tu hapa 2005-2020 Nyota waliobamba je kwa Sasa Kuna wakufananisha nao?
1. Zidane
2. Ronaldo
3. Messi
4. Rooney
5. Gigs
6. Vandesir
7. Peter check
8. Inesta
9. Xavi
10. Drogba
11. Robin...
Katika kujiandaa na Olympic leo USA anacheza na S Sudan. Mpaka sasa South Sudan anaongoza 43-30 dakika 5 zinebaki kuwa half time.
USA ina mastaa wa kutosha. Bron, Curry, Embiid, ADavis na wengine...
Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya...
Nimeangalia mapokezi ya wachezaji wa Yanga bukoba ni makubwa sana tena sana pale airport na watu wameacha shughuli zao kwenda kuwapokea ila namna wachezaji wanawapita mashabiki ni kama paka na...
Heri ya mwaka mpya wanamichezo!
Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila...
Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka.
Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kuwa tayari kwa michuano ya...
Klabu ya Namungo Fc imethibitisha kuridhia ombi la kujiuzulu la aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Omary Kaya kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo iliyopokea vipigo viwili mfululizo...