Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu ya Al Shandy kutoka nchini Sudan, Al Malakia kutoka Sudan Kusini na KMKM kutoka Visiwani Zanzibar zinatarajiwa kuwasili kesho jijini Dar es salaam tayari kwa ushiriki wao kwenye michuano ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahisi kama nimechelewa kulifahamu hili. Leo asubuhi katika pita pita zangu nimekuta na website bora kabisa, narudia bora kabisa kuwahi kuiona. Kwanini nasema hii website, ni bora sana: 1. Ni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Haiingii akilini kuona viongozi Wa klabu kama simba kufanya udanganyifu Wa mikataba Na kushindwa kuitekeleza kisha kukimbilia kuzilaumu mamlaka kuwa zinawahujumu. Wakati dunia nzima vilabu...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Dk 12 bado bilabila. ----------UPDATE----------- FT. Yanga3-0Police Combain. -Msuva-28 -Tambwe-33 -Ngoma-75
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Majuzi mchezaji nguli (ligend) kuwahi kutokea hapa Tanzania miaka ya 70-hadi 80 Bwana Sunday Manara alialikwa kwenye studio za AZAM TV katika moja ya vipindi vyake vinavyohusu michezo. Pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
  • Closed
Mchezaji maarufu Emmanuel Adebayo amebadili dini kuwa mwislamu. Chanzo: Clouds Fm Has Emmanuel Adebayor converted to Islam? This video certainly seems to suggest so - showing the...
5 Reactions
25 Replies
17K Views
Habari Zenu wakuu.. Me ni member mpya humu jf sina muda sana na ni shabiki mkubwa wa arsenal football club.. naitwa Joel Chuku... Kwa watumiaji wa facebook watakua wananifahamu kwakua nipo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
SUNDAY, JULY 12, 2015 Kenya wins volleyball title The Kenya women's volleyball team celebrates after beating Peru 3-1 in the Group 3 final of the FIVB Grand Prix at the AIS Arena in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi game inaanza saa ngap?tennis ya wanawake.
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Jk alikua mchezaji mzuri sana wa mchezo huu wa Basketball kama alivyotuambia enzi hizo, je tutapataje angalau picha zake akiwa anacheza mchezo huu kama Barack Obama anavyoonekana hapa?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni sawa tukisema kwamba ndoa ya kijakazi hatihati. Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametoa kali baada ya kusema amesusia kununua vitu vinavyotengenezwa na kampuni ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Setter Janet Wanja (left) in action for Kenya against Australia during their FIVB Grand Prix Group 3 semis match in Canberra, Australia on July 11, 2015. PHOTO | FIVB | Kenya recovered gallantly...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni baada ya Simba kumtumia baba mzazi kumshawishi asiongeze mkataba mpya Yanga ili mwisho wa msimu huu aondoke bure,yeye jana asain miaka2 kwa donge nono!! Sasa ni mpaka 2018,Baba mzazi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Some interesting quotes came out of the presentation of the economic programmeJoan Laportawould implement if he wins Barça's presidential elections. Joan Oliver, whom Laporta plans to install as...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia Top African Team ranks. nmeshtuka sana kuwa nimeiuta azam ni ya 324 na Simba sasa imekuwa 333 nadhan ni kwa kuwa haijashiriki mashindano yoyote ya kimataifa hapa kati kati...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Football fans who support EPL are awaiting the poorest seasons if the roumers going around are to be true. Trio exit of Falcao Di Maria and Van Persie in one transfer window could have serious...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni kwa mujibu wa Tanzania football fitna
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Baada ya kuropoka na kuwatukana viongozi wa Kimondo Fc kua hawajitambui na hawakua na mkataba na mchezaji waliomdajiri Jofrey Mwashua leo katibu wa Yanga kanda mbozi kuyamaliza na viongozi wa kimondo.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
ikiwa leo ni mara yake ya pili kufanya vitimbi katika medani ya soka yule msemaji " mpayukaji " wa klabu ya yanga fc jerry muro amekalia kuti kavu mara baada ya uongozi wa klabu ya kimondo kupanga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WBO imemvua Money Maywesrher ubingwa alioshinda katika pambano lake dhidi ya Pacquiao. Baada ya kuonekana sheria hazikufuatwa. The boxing organisation does not allow boxers to hold world titles...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…