Yanga Wameweka Rekodi Nyingine Kwa Kuahirisha Sherehe Za Miaka 80 Za Yanga Na Za Miaka 25 Ya Ubingwa. Zifuatazo Ni Sababu Zenyewe Na Naomba Mzisome au Mzipitie Kisha Mtanijibia Maswali Yangu Ya...
Private luxury yachts of Russian billionaire Roman Abramovich, Eclipse and Le Grand Bleu, in touristic district Marmaris of Mugla, Turkey on October 22, 2014. Eclipse worths 1.2 billion US dollars...
Habari zenu!
kwa wale wapenzi wa soka, Startimes tunazidi kuwaletea uhondo ambapo sasa tumepata EXCLUSIVE right kuonyesha BUNDESLIGA kwa nchi za kiafrika kwa miaka zaidi ya mitatu.
Startimes...
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inaondoka nchini leo jioni kuelekea Kampala - Uganda kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano dhidi ya The...
Katika kile kinacho semekana kama ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 80 ya Yanga Fc.
Yusuph Manji yuko TBC Akihojiwa na mtangazaji Chacha Marwa.
Mzee Mengi, ambaye ni mmiliki wa kampuni ya...
Mimi nikiwa Tanzania huwa shabiki wa Yanga sports club, mshabiki wa damu, lakini hapa uzalendo kwanza, kama nitakua na nafasi hiyo siku lazima nibebe vuvuzela yangu na kushukia Dar. K'Ogalo juu...
TFF YATUMA SALAM ZA RAMBI RAMBI KWA MWAKELEBELA, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Mwesigwa Selestine ametuma salamu za rambi rambi kwa famili aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa...
Kwa Tz ni Yanga na Simba kwa Kenya ni Gor Mahia na AFC Leopard kwa UG ni Express KCCA Bunamwaya etc. Rwanda ni APR na Rayon
Swali je ni ipi ina mashabiki wengi ukanda huu wa East Africa
Afisa MtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva Pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange Kaburu Wakiwa wameshika Mfano wa Kadi ya Club Hiyo...
Habari wana jf
naombeni msaada wa jinsi ya kustreams mechi za copa america kwa anayejua naomba anisaidie ili nami niweze kuona hizo mechi. Natanguliz shukran
Mchezaji wa Simba ya Dar es Salaam ambaye ni zao la timu ya SC Villa ya Kampala na aliwahi kuchezea timu za Etoilr du Saheli ya Tunisia na Yanga SC ya Dar es salaam amefunga pingu za maisha mjini...
Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inatarajiwa kuondoka nchini siku ya alhamis kuelekea nchini Uganda kwa ajili ya mchezo wa marudiano...
FIFA utoa kila mwaka $500k kwa Tanzania na wakufunzi wa makocha/marefa.
Safari hii wametoa pamoja na nyasi za bandia cha ajabu nyasi eti zimekwama bandarini kwa ushuru eheee ivi tumerogwa? Yani...
Yanga ndiyo klabu kongwe zaidi inayoshiriki ligi kuu nchini. Klabu hiyo ya Jangwani ilianzishwa 1935. Kutokana na ukubwa na umri wake, NIPASHE tulitarajia kuona klabu hiyo inakuwa mfano wa...
Akipiga pasi tatu za goli na kuanzisha mashambulizi mengine matatu,Lionel Messi ameiongoza Argentina kuisambaratisha Paraguay 6-1 katika nusu fainali ya Copa America. Messi,akicheza kama kiungo...
MIEZI michache baada ya kufungua akaunti kwenye benki ya Posta Tanzania tawi la Mbeya, hatimaye mashabiki wa Mbeya City fc wamekamilisha usajili wa kampuni ya mashabiki ambayo itakuwa...