Champs Lge & Uefa Cup draws as they happened
Champions League last 16 draw:
Celtic v Barcelona
Lyon v Manchester United
Schalke v Porto
Liverpool v Inter Milan
Roma v Real...
WE can confirm that the board has asked Martin Jol, club manager, and Chris Hughton, first-team coach, to stand down with immediate effect.
We have not taken these decisions lightly or without...
Sisalimii mtu yeyote humu, kama taifa bado hatuna mchezaji yeyote mzawa anaecheza nje au ndani ya Tanzania anayefikia uwezo wa Samata mzee wa sasa hata kwa asilimia 30 tu, bisha kubali lakini...
I will be short.
Azam FC should say sorry to the fans and Tanzanians who supported them.
they returned home kienyeji sana, people need answers.
Kiswahili sasa;
Azam FC ni wajinga sana, bila...
Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima.
Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious...
Habari wapenda michezo,
Nimefuatilia michezo ya olimpiki France 2024, naona kuna michezo mingi sana. Najiuliza kwa nini Tanzania hatupeleki washiriki kwenye michezo kama kuruka juu na chini...
Nataka tujenge hoja makini tuache mihemko na majungu, hv kwa nafasi anayocheza Samatta tuna mchezaji wenye uwezo kama samata hata 20% tu ya uwezo wake wa sasa?
Kama yupo mtaje na usilete ngonjera...
"Inaonekana kuna aina Fulani ya chuki kutokana na mafanikio ya mwanangu Mbwana, bado Mbwana ana nafasi kubwa sana katika timu ya taifa, Samatta na Msuva ni wachezaji muhimu sana kwenye taifa letu...
Rais Samia alitoa ahadi yake ya kutoa hamasa kwa timu zinazo shiriki michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu vya YangaSC, Simba SC, Coastal Union na Azam FC kila Goli moja Rais anatoa shilingi...
Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam.
Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni...
YANGA YAPOKELEWE KWA SUPU BUKOBA
Wanachama na mashabiki wa timu ya soka ya Yanga Mkoani Kagera wameandaa tukio Maalumu la kunywa Supu lililoambatana na usajili wa wanachama wapya ikiwa ni ishara...
Azam haina mashabiki kwa sababu waliopewa idara ya uhamasishaji wanajali mishahara zaidi kuliko klabu.
Licha ya Yanga kuwa na mafanikio lakini wanatumia njia nyepesi ya kuwalisha supu watu na...
Goli kipa raia wa Sudani kusini Yogusuk Simon ambaye amefikisha miaka 20, picha zake zilianza kusambaa miaka miwili nyuma 2022 kwenye mitandao ya kijamii zilizoibuz maswali mengi kwa mashabiki wa...
Mzize hana umri unaotaka kuwaaminisha watu, sio young player, wengi tunamfahamu Mzize, muache akacheze soka huko anakoliliwa, Mzize maisha yake bado hayajakaa sawa na njia pekee kwake kutoboa ni...
MDHAMINI MOJA KUDHAMINI TIMU ZAIDI YA MBILI.
[emoji871]Ok nipo hapa kufafanua swala hilo tunasikia minong'ono mingi badhi ya wanasoka kuhoji swala hilo kweli wana haki ya kuhoji huu ndo mpira...
1. Kipa wa Simba ana utulivu sana ni moja ya makipa bora kabisa ambao Simba msimu huu tunajivunia
2.Abdulrazak Hamza nimewaona akina Costa, Deo Njohole, Nico Bambaga wakati fulani akicheza namba...
Hakuna ambacho hatujafanya, SIMBA SC ni level zingine kabisaaaaaa🔥🔥
Hii ilikuwa klabu Bingwa mtu alikula week na ilikuwa Group stage sio hatua za Vidudu na pia team iliokula hizo week yaan 7...
Wakuu.
Sote tulilaumu sana kwa kipindi kile kocha moroco kutomuita the big brain defender na hata tukapuuzwa kwa chuki zake za kijinga za kocha huyu, leo sasa mwenyewe kajirudi mwenyewe
Hemed.🗣...