Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Title inajitosheleza, kwa mtazamo wangu. Timu bora, Beki bora, Mchezaji bora, game kubwa na bora, eneo la hatari zaidi....reaction ya Messi baada ya, inaelezea yote. Popote likitamkwa jina...
8 Reactions
197 Replies
16K Views
Wadau hapa tutapata Live Update za Pambano la Yanga na waarabu kutoka Tunisa Pambano hili litakuwa hewani leo saa 3 usiku kwa saa za afrika mashariki na ya kati. hapa ndipo tutakata mzizi wa...
2 Reactions
311 Replies
33K Views
naona timu kubwa zikishinda wanapiga nyimbo zao za ushindi redioni. pia timu ya mbeya city wamerekodi nyimbo nyingi sana za kushangilia. nauliza kama hii miamba ya soka ina nyimbo zilizorekodiwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
The winer has become the loser without prior consent this is totally unfair.The red color who is the champion has changed to blue colour who is the loser and become vice verse is true.It is really...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Pesa ambayo amelipwa / atakayolipwa floyd myweather baada ya kushinda kwa point katika pambano lenye utata , katika maamuzi dhidi ya manny pac 1. Ni zaidi ya mishahara ya mchezaji wa barcelona...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
They can not be satisfied, whoever they see thet want him.. see these giant ..According to a report from the Sunday People, Spanish side Barcelona are interested in signing Manchester United...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
chelsea wachukua ubingwa ikiwa bado mecha tatu,baada kuifunga crystal palace na kufikisha point ambazo hazitofikiwa na timu nyngine
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Mwaka jana uongozi wa Yusuf Manji uliongezewa mwaka mmoja ili uweze kukamilisha au kuweka katika utendaji mipango iliyokuwa nayo ikiwemo ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Yanga, jambo ambalo mpaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Floyd Mayweather will meet Manny Pacquiao in Las Vegas on 2 May for what promises to be the richest fight in history, it has finally been confirmed. American Mayweather, 37, and Philippine...
4 Reactions
146 Replies
17K Views
Tuliambiwa mtoto wa Matumla angepigana leo ktk mapambano ya utangulizi katika pambano kati ya F. Mayweather na Man Pacquaiao mpk muda huu pambano linaanza simwoni hy dogo. Kulikoni?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ebu tutafakari vichwari vya magazeti vya kuibeba Yanga 3/02/2015 kama ilivo ada: 'Yanga yatolewa kiume', nyingine?
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Yanga hii ni tofauti na imekamilika kila idara. Haina nia wala sababu ya kufungwa jijini Tunis,Tunisia. Yanga ina kikosi imara na wachezaji wenye ari na wasiotishwa na historia. Yanga hii itaitoa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
kwa maelezo yasiyo kweli eti nchi inayoandaa mashindano ya cecafa inagharamikia na chama hicho si kweli kama ni kweli pelekeni zanzibar kagame cup kama mnazo hizo hela. na kama mnazo mbona...
0 Reactions
2 Replies
671 Views
UNAPOKWENDA Ulaya, jezi inayoongoza kwa kuuzwa kuliko zote ni ya rangi nyeupe na ufito mweusi au rangi ya dhahabu. Hiyo ni jezi ya mabingwa wa Ulaya, Real Madrid ambao tayari wameuza zaidi ya...
3 Reactions
10 Replies
13K Views
Mpaka sasa hivi najiuliza na sipati jibu inakuwaje mywether kapigwa round zote kumi na mbili lakn atawazwe kuwa mshind na man pacquio aliyeweza kumudu na kumkimbiza mywether round zote kushindwa...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
kwa maelezo yasiyo kweli eti nchi inayoandaa mashindano ya cecafa inagharamikiwa na chama hicho si kweli kama ni kweli pelekeni zanzibar kagame cup kama mnazo hizo hela. na kama mnazo mbona...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Habari wadau, Kumekuwa na kujichanganya sana kuhusu muda wa pambano la "The Fight of The Century".Ukweli ni kwamba kwa huku kwetu Pambano sio Tarehe 2 bali ni Tarehe 3 saa kumi na mbili asubuhi...
4 Reactions
84 Replies
14K Views
Hatimayeyametimia ni siku tatu tu zimebaki kwa mabondia wawili maarufu dunia kuingiaulingoni kukata ile kiu iliyokuwa inasubiriwa na wapenzi wengi wa ndondiduniani. Nichukue fursa hii kama mpenzi...
4 Reactions
81 Replies
12K Views
Tizama msosi anaokula huyu Bondia Manny Pacquiao , hebu mlinganishe na msosi wa kina Cheka, Matumla, kaseba.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Rio Ferdinand ambaye ni mchezaji wa zamani wa Manchester United (kwa sasa akiitumikia Klabu ya Queens Park Rangers), amefiwa na mke wake anayeitwa Rebecca. Mwanamama Rebecca alikuwa akisumbuliwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…