Hakuna kipya,hadidhi ni ile ile.Ikicheza bila malengo pasi nyingi za kurudi nyuma huku etoille wakiwa pungufu toka dk ya 42 ya mchezo,Yanga imeshindwa tena mbele ya waarabu.
Mchezo wa awali...
Nastahili kuwapa pongezi Yanga sports club kwa kupambana mpaka tone LA mwisho ila kwa mtazamo wangu acheni hiki ninachokiita uvivu. Ukweli ni kwamba yanga ni wavivu sana maana tangu michuano hii...
Vijana wa jangwani wamefanikiwa kutua salama Tunisia, tunawaombea mshangaze dunia siku ya jumamosi saa 3 usiku ya tz,daima mbele nyuma mwiko mabingwa wa Tanzania bara Mara 25
Rais kikwete amewataka watanzania kuungana pamoja kuiombea yanga hata kwa wale wasio mashabiki wa yanga mikia na wengine wote. Imetolewa na wizara ya Habari
"... ukiniuliza nitakuambia kwanini Yanga wamechukua ubingwa maana najua ni mbinu gani wametumia.. Jambo si kua Bingwa na kushindwa kutuwakilisha vyema, namaanisha unakua bingwa halafu ni "Bingwa...
Kujua Ratiba Za Matukio Muhimu Makubwa Ya Leo Jumamosi Na Kuamkia Jumapili Ya Kesho Haswa Kwa Kuanzia Ule Mtanange Wa Yanga Na Mpambano Wa " Mai Naiweza " Na " Pakua Yao " Ratiba Kamili Ni Kama...
Nimekiandaa kikosi vizuri na kizuri kwao kila mmoja anatamani klabu iandike historia ya ushindi hapa sousse. Wapinzani wangu ni wazuri na wana experience kubwa na michuano hii lakini tumekuja...
Yule mchezaji kipenzi wa Gang Chomba, Ronaldinho (i.e. Ronaldo Mdogo) amegoma kustaafu kusakata gozi. Pamoja na kiwango chako kuisha, mkongwe huyo bado anang'ang'ania kulisakata kabumbu japo...
Yanga: iko airport kwa ajili ya safari ya Tunisia ila bahati mbaya kiungo Haruna Niyonzima ameugua ghafla ana malaria hv sasa yupo kwenye drip
Ila Salum Telela leo amefanya mazoezi na kidogo yupo...
Watanzania tumezidi sana kudanganywa kuwa mtoto wa Matumla akimshinda mchina feki angepambana katika mapambano ya utangulizi kwenye pambano la Mayweather na Paquiao. Sijaona ubora wa huyo bondia...
‘They Can't Stop You'
Daniel Adongo wasn't supposed to see the field until 2014, but the former rugby star had other plans. Four months after he learned how to strap on the pads, the...
Klabu ya Dar es Salaam Young Africa (Yanga) imeanza kukiona chamoto nchini Tunis mara baada ya kufika na kukaa airport masaa 2 bila kuja kupokelewa na wenyeji wao, mara baada kufuatwa walipata...
Kwanza MOD:
Ningeomba hii post kwa muda wa siku kadhaa muiache kwenye jukwaa hili la habari mseto hata kama mtaweka pia kwenye jukwaa la michezo .
Maana kule kwenye jukwaa la michezo sio wadau...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini - TFF, Jamal Malinzi amewatakia kila la kheri Wawakilishi pekee wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CC) timuYoung Africans katika...
Habari wana JF. Baada ya kupata ma experience ya kutosha toka kwenye autobiography mbili matata za MMU sasa ni bora tukapumua kidogo hapa. Jana chelsea kaendeleza ubabe wake kwa kushinda 3 - 1...