Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Finally, Ronaldinho, one of the most skillful footballers to have ever played the game, has revealed his Champions League dream team. Surprisingly, there is no Xavi, Iniesta, Puyol, Zidane or...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Wadau Ningependa kufahamishwa ni vigezo vp haswa hutumika kumpata team captain katika timu za mpira wa miguu na je, huwa anateuliwa na kocha au huwa anapendekezwa na wachezaji wenzake? Nawasilisha
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Ukifatilia refarii mmoja mmoja utakuta wengi ni mapolisi, askari magereza, wanajeshi na vyeo vya chini wengine mafundi umeme, makarani wa ofisi mbalimbali, wengine wa mtaani. Kifupi wote hawa ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ndio Leo pale Mkwakwani Mambo atakapomkaribisha Mnyama aliye kwenye form ya hatari sana pale Mkwakwani. Simba itaingia katika mchezo wa leo ikiwa na morali ya hali ya juu baada ya kushinda...
0 Reactions
274 Replies
24K Views
Baada ya kuwapa kipigo kikubwa sana wazimbabwe Yanga leo inarudi nyumban kupambana na hawa wana kamua miwa wa kutoka huko Kagera. Yanga ambayo inaingia uwanjani ikiwa na Morali kubwa baada ya...
4 Reactions
223 Replies
22K Views
Ushaidi wangu huu.Hizi mechi za tarehe 1 ilitakiwa zilipwe leo tarehe 2 lakini mpaka sasa hazijalipwa na simu zao wanazima ...hawapatikani hewani...nimedhurumiwa pesa na hao jamaaa ushaidi huu...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Ule mgogoro wa Azam TV na SuperSport kuhusu haki za matangazo ya televisheni ya Ligi Kuu ya Uganda (UPL), bado unaendelea na safari hii umetinga mahakamani. Amri ya mahakama kusitisha matangazo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Gidamis Shahanga, the legendary Tanzanian runner was robbed of a gold medal at the 1983 world athletics championships. All the runners who finished ahead of him were later accused of doping...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Game iko 2nd Quarter score ni 2-2
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jana nimefanya auto download katika azam tv na kupata liverpool tv na real madrid tv,ila bado kurusha matangazo yao ina display access denied
0 Reactions
14 Replies
4K Views
kama hii habari ni kweli viongozi wa simba wadhulumaji wakubwa. Ni kwamba mkude alitaka ml 80 mkamsanisha cash ml 25 na mkamwambia na hiyo gari thamani yake ml 60 jamani hiyo gari ya mkude ml...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hawa jamaa wameturahisishia sana maisha. nimecheki mechi ya azam na ndanda. mambo ya vingamuz viwiili viwili sasa basi. AZAM Media Flash Page
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ligi Kuu ya Uingereza inaelekea kupoteza uwakilishi katika UCL kama Man City watafurushwa na Barcelona usiku huu. Tayari Liverpool,Chelsea na Arsenal zimeshaaga mashindano hayo. Man City itakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Champions League - Round of 16 March 17 22:45 Atletico Madrid ? - ? Bayer Leverkusen 22:45 Monaco ? - ? Arsenal
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiungo wa timu ya Coastal Union, Godfrey Wambura amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari 2015 wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inayoendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali nchini...
0 Reactions
2 Replies
909 Views
TFF kama mpo makini na mpira wa miguu hapa nchi huu uwanja wapira jamhuri stadium dodoma haufai kabisa kuchezea mpira ni sasa na eneo la kituo cha kuuzia ng"ombe haufai kabisa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Klabu ya Mbeya City Fc, tumesikitishwa na habari iliyotolewa na gazeti la Mwanaspoti toleo Namba 1731 la tarehe 17-18 March 2015 yenye kichwa cha habari Mbeya City yatimua kocha Hii ni habari ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana sana na uamuzi wa TFF jinsi mlivyofanya kwa hayati Sylvester Marsh, Hii ni aibu ya mwaka na kushindwa kusamini mchango wa wapigania soka katika nchi yetu. Marsh alikuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…