Wanamichezo humu JF! Mi kama mimi naona mchezo wa Tanzania Vs Zimbabwe kama nilivyoifuatilia Mi naona huyu (PM) wa serikali tawala anafaa kulalamikiwa mpk mwisho. KISA NI AHADI YAKE KWA WACHEZAJI...
Shirikisho la soka Ulimwenguni(FIFA) limetoa majina 55 ya wachezaji wafuatao kwa ajili ya mmoja wao kutangazwa mchezaji bora wa soka wa Dunia ha[po Januari 9,2012.Nani kiboko yao hapo? Kama wewe...
Ninavofahamu mie ajira ya utangazaji tbc ulizingatia sana ueledi, sasa nashangaa kuona katika mashindano haya ya cecafa tbc kwenye tv yao wanaandika "kilimanjaro" badala ya tanganyika au tanzania...
sasa hivi ni kipindi cha pili. mechi zote zimefungana goli moja.goli la ethiopia limefungwa kwa njia ya penati na ADEN GRIMA anaye chezea al malek. Na goli la malawi limefungwa na HENRY KABICHI...
hatimaye manchester united yatolewa kwenye kombe la carling na timu ndogo!haya yote yanatokana na kocha kupanga makinda makinda tu,natoa angalizo sir.alex ferg asipoangalia atakuja stafu kwa aibu...
Floyd Mayweather Jr. challenges Manny Pacquiao to sign contract
Found 5 hours ago on NESN.com:
Via NESN:
Floyd Mayweather Jr. has turned the tables on the Mayweather-Pacquiao storyline...
Tatizo la soka Tanzania na Afrika mashariki kuporomoka linatokana na TFF na SECAFA,hii inatokana na kulenga kwenye mapato zaidi kuliko kukuza mpira.Tuliona kagame timu moja ikipelekwa fainali kwa...
Hivi tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?.Usemi huu wa mzee ruksa unaonekana haujatupa fundisho lolote walimu na wachezaji wa timu yetu ya taifa. Jana tumecheza na msumbiji mechi...
sasa hivi ni kipindi cha pili. sudan wanashambulia sana na malawi wanazuia. Sudan wanacheza kwa malengo na mpira wa akili zaidi.
hadi sasa hivi dak 21 kipindi cha pili
MALAWI 0 - SUDAN 0.
Mia
KUPIGA MIPIRA MINGI KWA KUTUMIA KICHWA KUNAHARIBU UBONGO.
Footballers: Too many headers 'can damage the brain'BBC News - Footballers: Too many headers 'can damage the brain'
Jamani leo tumiminika kwa wingi kuishangilia kilimanjaro stars uwanja wa taifa saa 10 jioni ikipambana na Djibout.Nawaombeni wadau msiangalie matokeo ya nyuma kwani mtoto kama ni wako hata akiwa...
kuna taarifa mechi ya stars ya kesho imearishwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa TFF
BINAFSI HATA WANGEENDA KUXCHEZA NASHAURI WATANZANIA MSIKIMBILIE KABISA KUANGALIA WALE WAVUTA BANGI WAKIONGOZWA...
Shirika la Utangazaji nchini TBC imerejea katika maonyesho ya soka na kwa kuanzia wataanza na Challenge Tusker Cup inayoanza kutimua vumbi hapo kesho katika uwanja wa Taifa.
Kwa mujibu wa...
SKY SPORT:sir alex ferguson has removed any doupt reguarding Rio fnrdinand's future by cleiming the center-half can play on for another couple of years'.
WENGER BLEMES FITIGUE FOR DRAW
Asner...