MotoGP leo imetokea ajali mbaya sana kwenye mashindano yaliyofanyika Malaysia, ajali hiyo ikimhusisha Marco alipo poteza mwelekeo na kuingia kny njia ya Rossi ambapo aligongwa vibaya mpaka Helmet...
Wapenzi wa michezo leo ni fainali ya Kombe la Raga la Dunia kati ya New zealand na Ufaransa.
Tuache kwa muda football, Formula One, tennis na kujikita kwenye raga
KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam iko katika mikakati ya kuimarisha vitega uchumi wake, ikiwamo kujenga jengo la ghorofa 12 makao yake makuu ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kuacha...
angalia hapa Vodacom Premier League Vodacom Premier League 2011/2012 na kisha hapa Summary - Ligi kuu Bara - Tanzania - Results, fixtures, tables and news - Soccerway ,hawa jamaa wa TFF wamekuwa...
Wadau wa soka..Binafsi sidhani kocha yeyote anayejulikana kwa ubora ndiye muarobaini wa soka letu..Ukizingatia katika Afrika Mashariki sisi tuko nyuma kisoka(nafuu ilikuwepo wakati wa...
Nianze kwa kuwashukuru kituo cha Runinga cha ATN kwa kutuletea uhondo wa ligi ya mabigwa wa Ulaya kupitia king'amuizi cha TING. Hata hivyo nawashauri wawe wanatafuta wachambuzi wenye upeo...
Utawasikia wakiwataja wachezaji weusi, kama Wanchope, Andrew Cole, Luís Boa-Morte, Kanu, Yakubu, Odemwingie, Darius Vassel, Darren Bent, Jason Robert na wa sasa kama Demba Ba, Balotelli, Gyan...
Na Zahoro Mlanzi
WABUNGE wanne wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, wameibukia katika Kamati mbalimbali mpya za Klabu ya Simba, zilizoundwa kushughulikia masuala ya uwekezaji na ujenzi wa uwanja wa...
Mimi ni mshabiki mkubwa wa soka ya hapa Tanzania hali kadharika kutokana na utandawazi uliopo sasa na napenda pia soka ya nje ya Tanzania. Lakini kubwa nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu mwenendo wa...
Mancini alitoweshwa inter sio kwasababu ligi ilimshinda, ila tu champions ligi ilimkataa. Na kwa sasa barclays wikiend hii ngurue atachunwa ngozi nyumbani kwao.
Sasa ataweza kupita kwenye group a...
Gang Chomba huyu mtakatifu wako vipi? Utovu wake wa nidhamu utatuharibia vijana wetu timu ya Taifa:
Ronaldinho off but Flamengo win
Flamengo overcame the dismissal of Ronaldinho to move level at...
Kenya's Stephen Muange Wins the Baltimore Marathon
It came down to the wire, but first-time marathon runner Stephen Muange from Kenya broke free from a pack to win the 2011 Baltimore Marathon...
Hawa jamaa mwanzoni mwa miaka ya tisini wakiwa sekondari walitikisa sana mji wa Mbeya katika michezo ya UMISSETA kiasi kwamba nilijua watakuja kucheza ligi kuu hata timu za taifa. Waliishia wapi...
Kwa mara ya kwanza jukwaa limekaukiwa na habari nyeti.
Leo ni nusu fainali ya kombe la Dunia kwa mchezo wa raga (rugby) kati ya New Zealand na Australia.
New zealand wanaongoza mpaka sasa 17...