Salaam wanaJF!
I was told by a friend of mine about this website. It is really amazing that you can watch live sport games for free whenever and wherever they are being played.
Enjoy it!
SPORT...
WIKI mbili zilizopita, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chilla Tenga alikutana na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kujaribu kuwekana sawa katika masuala...
Why is it Kenya, Ethiopia, Uganda can produce world class athletes yet we continue to perform poorly. The incompetence, corruption and laziness of people in this country is just amazing. When...
Mbwa wa Polisi kitengo maalum cha kupambana na madawa ya kulevya jana "aliwatia aibu" wachezaji wa Simba huko Mwanza.
Mbwa huyo ambaye amefunzwa kubainisha watu waliotumia/waliobeba madawa ya...
Mchezaji wa los angeles laker kobe joe brayant amehamia italy kwenye moja ya team za basketball nchin humo kwa mkataba wa mwaka mmoja..lakin atakuwa anachezea lakers pale anapohitajika..source NBA
Boston Celtics guard Delonte West, pictured above with another player
who wasn't at Wednesday's lockout negotiating session, is ready to lug around his own set of heavy things.
Furniture-type...
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka watu wenye kutathmini soka la Ulaya ktk vituo mbalimbali vya Luninga hapa nchini.
na kila kukicha wanaibuka na inaaminika wataibuka wengine kadha wa kadha wenye...
Jana man utd wamewalaza fc chelsea mabao 3 kwa 1. Na kabla ya hapo waliwachabanga arsenal mabao 8. Sasa kwa kutumia vigezo hivyo ukizingatia chelsea na arsenal ni timu bora ulaya, je man utd ni...
The Citizen (Dar es Salaam) Wednesday, 23 September 2011
Imani Makongoro
Dar es Salaam - Newly appointed National Sports Council (NSC) chairman, Dioniz Malinzi got down to work yesterday with a...
Blog-Tovuti ya Teknohama Bongo - inakuwezesha kutazama michezo kama Football, Basketabll, Tennis na mingine kwenye computer yako Kama una network nzuri (bandwidth)
Iwe ni champions...
Jamani wadau mimi ni mpenzi sana wa sports hususan football both locally and international. Je ni blogs au forum gani naweza kupata information za soka achilia mbali na hizi ninazozijua:
1...
Heshima kwenu wote wadau wa mpira, Binafsi ni mshabiki wa Man utd na timu yangu ni nzuri ya mwaka huu na inanipa matumaini inavyogawa dozi kwenye premier league kila siku, bt ninaombea nisipangwe...
ENGLAND 2-3 WEST GERMAN (World Cup quarter-final, 1970)
England, the reigning world champions, had gone into the World Cup in Mexico confident of success, and they had been 2-0 up after 49...
Makau sets new world record, Gebrselassie flops
Patrick Makau of Kenya celebrates after winning the 38th Berlin Marathon on September 25, 2011 in Berlin. He set a new world record in an...
Nizar Khalfan ameshuhudia timu yake ikichapwa goli 3 na mdhamini wa african lyon na timu aliyofanyia majaribio Ngassa.
http://aboodmsuni.blogspot.com/2011/09/nizar-afungwa-na-african-lyon.html