Mimi ni muudhuriaji mzuri wa mechi za timu ya za bongo .ktk timu inayotumia pesa nyingi katika usajir hapa bongo ni timu niipendayo ya Yanga.Lakini ndio timu inayoongoza kwa kununua magalasa/feki...
Rage oyeeeeee!!!!!!
Kumbe kweli CCM ni chama cha majambalika wanaotishia raia kwa bunduki!!
Kwenye kikao cha Simba uje na mguu wa kuku ili tukusaidie kuubeba maana unaonekana ni mzito sana.
Walipofungwa kwenye fainali ya ligi ya mabingwa ulaya May, 28, mwaka huu Sir Alex Ferguson aliahidi kutengeneza kikosi ambacho kitaifunga Barcelona na kuchukua ubingwa wa ulaya msimu huu. Je wewe...
Kwa hali inavyokwenda sasa katika ligi kuu ya Vodacom.
Kuna uwezekano mkubwa kwa mabingwa watetezi Yanga kushuka daraja.
Ingawa ligi ndo kwanza ipo mwanzoni mwanzoni lakini nyota njema huonekana...
LONDON, England
WINGA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema Barcelona ni klabu kubwa duniani lakini inaongoza kwa kubebwa.
Ronaldo anaungana na kocha wake, Jose Mourinho kuilaumu timu hiyo...
The Citizen (Dar es Salaam)
17 September 2011
Editorial
The national netball team, Taifa Queens, on Thursday earned Tanzania a silver medal after finishing runners-up at the 2011 All Africa Games...
Wazeya yule boxer tajiri and undeafeated Floyd Mayweather jr. kesho jumapili anapambana na Victor Ortiz mida ya alfajiri sana. Naomba wale wazee wa kuwanga night watutupie matokeo hapa jamvini as...
LAS VEGAS (AP)In just one round, Floyd Mayweather Jr. got a head butt, a kiss and a hug from Victor Ortiz.
He responded with a right hand that ended a bizarre fight early.
The end came just as...
Taarifa nilizozipata hivi punde Mwenyekiti wa chama cha soka Manispaa ya Temeke jijini Dsm, Bwana PETER STEPHEN MHINZI ametenguliwa uraia wake wa Tanzania baada ya uchunguzi wa kina kubaini kuwa...
Meneja wa uwanja wa michezo mjini Arusha Bwana Ngwabi amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu wa mapato ya uwanja huo.Uwanja wa michezo sheikh Amri Abeid ni miongoni mwa viwanja...
Timu zitakazoshiriki kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kwenye hatua ya makundi zina uhakika wa mgao wa Euro Milioni 7.2 kwa kila timu mgao ambao unatokana na mapato yanayopatikana toka kwenye...