Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kana kwamba ajaridhika na uchakachuaji waliofanya wakishirikiana na wenzao wa wizarana na tff mh huyu amefurahia percent aliepewa na majana ametangaza atapigia debe mashindano haya next time yawe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita kuna taarifa tulipata kuhusu wachezaji wa Red Sea walioingia mitini badala ya kurudi kwao baada ya kuondolewa kwenye mashindano hatua ya robo fainali,ila mwisho wa siku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HALI ndani ya klabu ya Simba sasa imekuwa ya mtafutano, baada ya wachezaji Mussa Mgosi na Mohammed Banka kuenguliwa kwenye usajili kwa ajili ya Ligi Kuu msimu ujao. Hatua hiyo imekuja siku...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kwa maoni yangu mchezaji huyu wa yanga na timu ya Taifa anaweza kuwa nahodha bora kabisa kati ya waliowahi kutokea katika soka la Tanzania. Mwenye wasifu wa mchezaji huyu atuwekee hapa ikiwa ni...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Imesikika sauti ya Boniface Wambura afisa habari TFF, kwamba anawaomba radhi kwa kitendo cha umeme kukatika wakati wa utoaji wa zawadi, nina wasiwasi na huu msamaha. Lakini pia Sendeu Luis amewapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
‪Congo - Pepe Kalle (RIP) - Young Africa‬‏ - YouTube http://youtu.be/Te1oxYJNjp4 Tujikumbushe marehemu Pepe Kalle alituthibitisha sisi mabingwa wa Tanzania na Afrika mashariki...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Takliban mwez sasa man city walipewa na mmiliki wao kama tilion 1 za usajili, je? unafikili wakisajili nakuunda kikosi kilicho bola misim hi 2 watavunja utawala wa man utd wakuchukua vikombe?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikiwa kama mtaalamu, mchambuzi na mwangalizi wa soka la kimataifa (International Observer), kiujumla huwa sitoi tathmini ya soka letu la kibongo kwa sababu kadhaa, ila wakati huu nimewiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CECAFA KAGAME CUP 201125th June to 9th July 2011 in TanzaniaTeam Fixture list GROUP A SIMBA(TZ), VITAL O’(BUR), ETINCELLES (RWA), OCEAN BOYS (ZNZ), GROUP B YANGA(TZ), EL...
0 Reactions
2K Replies
126K Views
Thirteen members of an Eritrean football team have failed to return home after a regional tournament in Tanzania, officials say. After Red Sea FC lost the Cecafa championship semi-final on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Football Stars Banned From Getting Tattoos German side Werder Bremen have banned their players from getting tattoos. But the club are not trying to stem the tide of Bundesliga body art: they're...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
World Football - Lie Detectors Used To Root Out Korea Cheats K-League authorities will introduce polygraph testing as part of a drive to drag South Korea's professional football league out of...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Uongozi mzima wa CECAFA ulioketi jioni hii ukishirikisha vilabu vyote vilivyo shiriki michuano ya cecafa 2011 wamekubaliana kwa kauli moja chini ya usimamizi wa mahakama ya michezo ya dunia...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Inasikitisha sana, hawa makocha wetu walioalikwa kuchambua soka hususan STAR TV! Walikuwa wanaboa vibaya,hawakuwa wachambuzi wa soka bali UNAZI! walikuwa wanashabkia wachezaji na kuwazodoa waalimu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sky and ESPN announce live Premier League fixtures for 2011-12 • Live games confirmed for first four months of season • Opening round will feature last season's top four...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Ama kweli leo nimeamini TANESCO hamuna utani na mtu, yaan mpira ulipo kwisha tuuu mambo yote KWISHINEI hivi kwanini msingekata baada ya Goli tu kuingia...????? au kipindi cha pili kilipoanza...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Celtic Football Club is delighted to announce they have agreed a fee with Germinal Beerschot for the transfer of Kenyan International midfielder Victor Wanyama, who has also agreed personal terms...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimesikia eti Yanga wanaenda kufanyia sherehe za ubingwa wao katika hiyo Pub inaitwa SIMBA KAPAKATWA. Yeyote anayejua hii Pub ilipo atujuze tukajimwage. Ipi nzuri KUBEBWA KAMA YANGA AU KUPAKATWA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati umati umejazana uwanja wa taifa kusubiri mpambano wa simba na yanga habari zilizotufikia punde zinasema klabu ya simba imetangaza kutoingiza timu ile iliokuwa ikicheza na kuapa kuchezesha...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Pengine jana nilikuwa mmoja wa waliokuwa na furaha na kupata nafasi ya kuangalia mechi ya simba na yanga. Ilinichukua kuamini kweli tumeshinda Mungu mkubwa. Najua unajiulizaje asamoah amekuja...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…