Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hivi Why Is It That World Class Players Wakienda Real Madrid Wanaflop Big Time?? Its Happend To Countless Players More Recently Kaká. This Is A Proven World Class Player With A Ballorn Dor And A...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
mi nashindwa kuelewa maana hapa nchini imekuwa kama vile nchi ni ya wacheza mipira ya miguu tu,watu wanaocheza basketball,volleyball hata hawathaminiwi kama wacheza mipiira ya miguu,maana hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rage aapa kutokanyaga KinshasaMwenyekiti wa Simba, Ismail Aden RageMICHAEL MOMBURI, KINSHASA MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage, ameapa kwamba timu hiyo haitakanyaga Kinshasa milele na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakala wa kiungo raia wa Kenya Victor Wanyama amethibitisha kuwa klabu ya Celtic ya Uskochi wamekubali kumsajili mchezaji huyo. Wanyama ambaye ni mdogo wake kiungo wa Inter Milan MacDonald Mariga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Alexis Sanchez ameipiga chini Manchester City baada ya kukataa kupanda ndege kwenda kufanya mazungumzo ya kujiunga na Matajiri wa Premier League kwa dili lenye thamani ya £30 million. Superstar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Staa wa zamani wa Brazil, Pele amemwambia mchezaji wa Santos (Neymar) kuwa kuhamia kwake Real Madrid kutakuwa na manufaa kwa mchezaji huyo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa kandanda unaweza kucheki mechi kati ya Rwanda na Uruguay, Eurosport TV Live 23.06.2011 Bongo tutafika kweli?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mlioko arusha tujuzeni!
0 Reactions
30 Replies
3K Views
By Mike Henson BBC Sport at Wimbledon Wimbledon Championships Venue: All England Club, London Date: 20 June-3 July Coverage: Live on BBC One, Two, 3D, HD, Red Button, online (UK only), Radio 5...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Wimbledon Championships Venue: All England Club, London Date: 20 June-3 July Coverage: Live on BBC One, Two, 3D, HD, Red Button, online (UK only), Radio 5 live, 5 live sports extra; live text...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Mrisho Khalfani Ngasa apata zali.Ameitwa na timu ya Seattle Sounders ya ligi kuu ya Marekani.AMEPEWA DAKIKA 15 za kuonyesha uwezo wake katika mechi kati ya Seattle NA Manchester United-mashetani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nilikuwa napitia Tovuti ya BBC SPORT..nimeona HABARI kuwa kuna wachezaji wa Zambia wanaocheza Katika Ligi ya huko FINLAND wanatuhumiwa kuwa walichukua Mlungula(RUSHWA) ili wapange...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni dhahiri kuwa kwenye utawala bora mtu asiporidhishwa na jambo fulani anayo haki kukata rufaa kwa chombo cha juu cha maamuzi. Simba SC ilikata rufaa dhidi ya Bw. Kabangu kuchezeshwa na TP Mazembe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mliopo waliko ndugu zetu kutetea heshima ya taifa tupeni updates!!
0 Reactions
271 Replies
18K Views
Mechi ya Nigeria na Tanzania U23 kuelekea michuano ya Olimpiki imeahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Benin City na kufanya uwanja ujae maji. Baada ya ukaguzi, waamuzi walikubaliana kuwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu Wanachama, Naona leo Tanzania imekununtwa 3-0 na Nigeria katika kolifikeshen ya Olompik. Tanzania lini itaendelea kimpira ? Kila ikishiriki katika mashindano ya nje haifanyi vizuri.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Avenging what happened five years ago in perfect turnabout style, theDallas Mavericks won their first NBA title by winning Game 6 of these finals in Miami 105-95 on Sunday night—celebrating on the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Premier League fixtures 2011-12: Manchester United start defence at WBA • Champions play Spurs, Arsenal and Chelsea in first five games • Kenny Dalglish...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ligi ya mkoloni wetu, english premier league imesimama. Timu zinajiimarisha kwa kusajili wachezaji wapya. Mi natabiri top 4 itakuwa chelsea, man u, man city na liverpool. We unasemaje khs top 4
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…