Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jamaa bana wakimuomba Diamond akapige show siku yao ya jumapili pale kwa mkapa, maana wao wanacheza trh 4 na sisi tunaanza trh 3 kuutumia, tunaujambiaaa halaf wao wanakuja kutumia kudadeki, basi...
4 Reactions
8 Replies
643 Views
Yaani waje muwape kila Huduma ( Kuwakarimu )kote halafu Wawakazie msiwafunge kisha warudi Ndola kwa Miguu?
5 Reactions
28 Replies
926 Views
Kati ya Mastaa wa Olimpiki waliotikisa Vichwa vya Habari ni Mturuki Yusuf Dikec na Mkorea Kim Ye-ji katika Mashindano ya Kulenga Bunduki ambao wote walishinda Medali za Fedha Kim Ye-ji, amekuwa...
1 Reactions
2 Replies
702 Views
Best
3 Reactions
6 Replies
559 Views
klabu ya Yanga imemtangaza msanii harmonize kutumbuiza katika kilele cha siku ya wananchi tarehe august4 siku ya jumapili na tayari msanii huyo ametambulisha nyimbo yake mpya atakayo tumbuiza siku...
4 Reactions
5 Replies
974 Views
Bila ya kujalisha upo timu gani, bila kujali ni wakina nani waliopo nyuma ya Kibu Denis, wapenda soka wote wanapaswa kumlaani kwa alichowafanyia Simba. Simba wamemtoa Kibu huko walipomtoa...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Kitu kizuri ni kizuri tu. Lakini sio kwa hii jezi. Weka ushabiki pembeni ugundue hizi sio jezi za mpira bali ni vitenge. Kwa nini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye...
4 Reactions
32 Replies
978 Views
Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu. Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani...
6 Reactions
74 Replies
3K Views
Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu...
2 Reactions
19 Replies
657 Views
Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa. 1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run. Pesa ambayo kwa...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika 1. Simba haikuchukuwa tuzo...
22 Reactions
44 Replies
3K Views
Ujio wa Manara Yanga unamnyima raha Ally, kama Ally hatauona ujio wa Manara kama faida kwake kufanyakazi na mkongwe/nguli kwenye tasnia na badala yake amuone kama adui kwake, patachimbika...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC. Kusikia hivyo...
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Ufunguzi huo uliosheheni nakshi nashi za namna yake umepigwa vikali na vikundi vya watu wenye imani kali; wakiishutumu Ufaransa ambaye ndiye mwenyeji wa michezo hiyo mwaka huu kuwa maonyesho...
2 Reactions
359 Replies
10K Views
Naona matokeo mapema this time Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza .Cha pili yanga wataingia na kasi ya ajabu sana sana aijawahi kutokea Kama baadhi ya wachezaji wa simba watashindwa...
5 Reactions
10 Replies
754 Views
Hatimae baada ya Simba kuzindua jezi zake, leo Yanga wameachia jezi zao. Je unaonaje ubora na ubunifu uliotumika msimu huu? Home, Away and 3rd kit.
20 Reactions
163 Replies
6K Views
Timu ya kikapu ya Marekani imeibuka na ushindi wa pointi 103 - 86 dhidi ya Sudan Kusini katika mechi ya Olimpiki iliyomalizika muda mfupi uliopita huko Ufaransa. Sudan imeshindwa kufua dafu mbele...
3 Reactions
2 Replies
292 Views
Kikosi cha Manchester United kimepata pigo baada ya beki mpya wa kati kwenye timu hiyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 59, Leny Yoro kupata majeraha yatakayomuweka nje kwa miezi mitatu, pia...
1 Reactions
0 Replies
417 Views
Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao...
17 Reactions
25 Replies
1K Views
Watanzania ni watu wa ajabu sana yaani wizara ya michezo naambiwa imepeleka wanamichezo 7 kwenye michezo ya Olympic ufaransa ambao nao hawana uhakika wa medali kutokana na mazingira duni ya namna...
12 Reactions
64 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…