Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

He becomes the oldest fighter to win a major world championship by beating Jean Pascal. MONTREAL - The old man is in the history books. Philadelphia’s Bernard Hopkins, 46, captured the World...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"Macho Man" Randy Savage at the 2003 movie awards. May 20th, 2011 [Updated at 2:39 p.m.] Pro wrestler Randy "Macho Man" Savage, 58, was killed Friday morning in Florida when the Jeep he was...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
David Haye amembandika jina la "laghai" Wladimir Klitschko katika mkutano na waandishi wa habari mjini Hamburg wakati wa mchakato wa kutangaza pambano lao la ubingwa wa dunia wa kuunganisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa, Nawasalimu katika jina la Mungu aliye juu Naomba kujua nitapata wapi shule inayofundisha martial arts hapa Dar es Salaam kwa ajili ya watoto wa umri wa miaka 3 kuendelea. Mbarikiwe sana
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Leo timu yetu ya soka imecheza na Afrika Kusini, mechi ambayo imeisha kwa sisi kufungwa goli 1-0. Ingawa sikutazama mechi kuna mambo kadhaa yananikanganya, Bafana Bafana imecheza mechi ya leo bila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cristiano ronaldo jana kapiga goli 2 na kuweza kufikisha magoli ya ligi 38 kati ya mechi 33 alizocheza msimu huu akimwacha mpinzani wake mkuu messi kwa tofauti ya magoli 7,messi ana magoli 31...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Napenda kumpongeza Ndimbo kujiuzuru nafasi ya usemaji wa klabu ya Simba. Hata hivo uamuzi wake umechelewa kwani sie tuliona mapema hali hiyo ya kutofuata sheria na taratibu.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Sunday, 15 May 2011 20:54 Clara Alponce WAZEE wa klabu ya Yanga jana walimkabidhi Mkuki, Ngao na Kigoda kama alama ya cheo cha uchifu kwa aliyekuwa mfadhili wao Yussuf Manji.Manji alikabidhiwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Maradona named Al Wasl coach (PA) Monday 16 May 2011 Diego Maradona is set to become the coach of Al Wasl after the Dubai-based club confirmed they had reached an agreement with the legendary...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
14 May, 2011 Reigning African champions TP Mazembe of DR Congo have been disqualified from the Champions League. The Confederation of African Football (Caf) took action after a complaint from...
5 Reactions
77 Replies
8K Views
The World Naked Bike Ride is an event that takes place all over the world. It is a peaceful and fun protest against our dependence on oil and our car culture. It is also a celebration of our...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAKATI Shirikisho la Soka Afrika CAF likiiweka Simba katika Kundi B, kocha Moses Basena amesema anaamini wachezaji wake ni kama kikosi cha askari jeshi hivyo wapo tayari kuwavaa Wydad Casablanca...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naifananisha west ham ya sasa na ccm ya sasa! Kilichotokea west ham kinaweza kuitokea ccm ya sasa! Kosa lao kubwa walishindwa kufanya maamuzi magumu pale ambapo walitakiwa kufanya hayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inasemekana meneja wa club ya TP MAZEMBE yuko cairo makao makuu ya CAF akiangalia vifungu ili timu yake ikate rufaa dhidi ya maamuzi ya kamati ya maandalizi ya ligi ya mabingwa Africa,maamuzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
British Bull Luol Deng takes big time in his stride http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/olympic_games/world_olympic_dreams/9481383.stm Luol Deng Chicago By Leon Mann BBC Sport in...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, leo inakutana na kipimo kingine wakati itakapoivaa Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’ mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
MABINGWA wa Kombe la Carling nchini England, Birmingham City, wanatarajiwa kutua nchini Julai mwaka huu kwa ziara maalumu ya kimichezo ambapo watakipiga na vigogo wa soka nchini, Simba na Yanga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nyingine zinafurahisha ila nyingine, Khaaa!!!! Zinanikumbusha kaka Kapuya akiwa kapakata Kibinti kwenye Pekecha pekecha.....
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Kijana maChachari kwenye ushambuliaji Mbwana Samatta awasili Lubumbashi na kujiunga na TP Mazembe ambao leo wamefuzu CAF CL last eight kwa kuichapa WDAD ya Morocco 2-0 (2-1 on aggregate). Haya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Millions paid in bribes for Qatar's 2022 World Cup votes, report claims • Financial deals allegedly arranged in exchange for votes • Qatar strongly denies claims as 'entirely false'...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…