Haya!
Sisi tulimpenda Torres, Chelsea wakampenda zaidi! Jina la bwana lihimidiwe!
Sasa leo sijui ndio tusemeje! Najaribu kufikiria pale mama mkwe anapotoka chumbani nduki amefunga taulo...
Remember Cameroun 1 Argentina 0
France 0 Senegal 1
Chelsea 0 Sunderland 3
Nadhani sasa unanipata ninapokwenda.... Wadau Hapa ni wale tunaopenda underdogs tunakutana..,
Hapa kuna top 10 upsets...
Egypt forced to call off all soccer games because of protests.
From: AFP
February 05, 2011 7:16AM
THE turmoil in Egypt has forced officials to call off all soccer...
Three Pakistan cricket team members and an agent will face corruption charges, the Crown Prosecution Service has said.
Mohammad Amir, Salman Butt and Mohammad Asif were accused of "spot-fixing"...
kwa wale mashabiki wa EPL,especially mashabiki wa man u na arsenal,habari ndio hiyo THE BLUES ARE BACK,kaeni mko wa vita hatuuachi kitu mbele yetu..!!!!!!
Chelsea fans everywhere are happy that you can no longer score against their team.
When I played against Chelsea there was always a big motivation because it was a special game, it was always one...
Mshambuliaji nyota wa Liverpool, Fernando Torres ameitosa timu hiyo na kujiunga na timu ya Chelsea huku akiacha washabiki wengi wa Liverpool wakiwa na hasira juu yake wengine wakimaliza hasira zao...
haya wapenda teniss
Msimu ndo umeanza Na Australia Open iko siku ya pili
kwa wale wenye net safi unaweza kuona live kupitia ATDHE.Net - Watch Free Live Sports TV
na ukipenda kufutilia match...
Nikiwa mmoja wa wapenzi wa klabu yetu maarufu dya
nimeona si haba kuwekana sawa wapenzi wa klabu sasa timu inapoelekea ni aibu..yawwezekana ushindi wa sima umeigharimu hapa ilipo ama ni wachezaji...
Interesting Games X-mass hii..
Magic naona wamekeep the faith and have just succeeded to snatch away 14-0 streak ya Boston Celtics..it did n't look from the beginning lakini ndio hivyo revival ya...
Osasuna leo wamemchapa Real Madrid kwa bao 1 kwa nunge! Ronaldo, Kaka, Benzema, Adebayor wote ndani. Nadhani Jose Mourhino siku zake zinahesabika gap na Barcelona linazidi kuwa kubwa ni points 7...