Kwa mwendo WA ukataji ticket wa mashabiki wa simbasc ulivyokua na Kasi wanaeza kuuza ticket zote siku mbili kabla ya Tamasha, kwasasa bado 15% tuu wauze ticket zote, wakati kule upande wa Yangasc...
Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua...
kikosi cha timu ya wanawake simba queens kimesajili viungo wapya kutoka timu ya yanga princess. viungo hao washambuliaji ni Precius Christopher, kiungo mkabaji Saiki Atinuke na mlinzi wa kushoto...
Wakati Jude Bellingham aliposaini Borussia Dortmund, wazazi wake waliamua "kugawanyika" kusaidia wana wao wawili.
Mark baba alibaki na Jobe mchezaji wa sasa wa Sunderland na Denisse mama...
Ni vizuri tukaanza kuwekana sawa maana maneno na majigambo ya wenzetu Kono la nyani yamekuwa mengi mtaani wakitambia usajili wao kuwa ni hatari tupu sasa ni Bora tuliweke hili vizuri na wazi...
Wadau hamjamboni nyote?
Haijataja kutokea kwenye historia ya mapikezi ya timu ya soka Tanzania
Maelfu Kwa maelfu ya wapenzi wakesha usiku wakisubiri kuwasili kwa mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania.
Kwenye mkataba wa Kibu Denis na SimbaSC kuna kipengele walichokubaliana kuwa, akipata timu Ulaya aruhusiwe kuondoka.
Kipengele hicho ndicho kinampa uhakika na jeuri ya kuondoka katika klabu ya...
Kampuni Ya GSM, Leo Tarehe 07/02/2022 imetangaza kujiondoa Kwenye Udhamini Mwenza Wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Ikimbukwe kuwa Kampuni Ya GSM iliingia Makubaliano Ya Kuidhamini Ligi Kuu Tanzania...
Hizi ni timu pendwa sana kwa watanzania wa rika zote, dini zote na vyama vyote vya siasa. Kwa ushauri wangu msijifungamanishe na vyama siasa na wanasiasa, msijinasibu na dini yeyote kama...
Naamini nimewahi kuleta walau uzi mmoja kuhusiana na mada ya Utalii wa Michezo, ila leo nitakuja na angle tofauti kidogo kutokana na kile ambacho nimekishuhudia siku za hivi karibuni.
Bila...
Anaandika Idd Rashid ( Iddmastory).
Alessandro Del Piero alizaliwa Novemba 9, 1974 huko nchini Italia katika familia ambayo baba yake alikuwa ni fundi umeme na mama yake akiwa ni mama wa nyumbani...
Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu...
SHAFFIH DAUDA:SITOSHANGAA YANGA MSIMU UJAO WAKAALIKWA ULAYA.
"Nimefuatilia PreSeason ya Yanga kwa maana maandalizi yao ya msimu mpya wakiwa hapa nyumbani na baadae kwenda Afrika Kusini kwa...
Klabu ya Azam fc yaonjeshwa ladha ya mchezo wa ligi za mabingwa kwa kupokea kichapo cha bao nne kwa moja dhidi ya wenyeji wao Wydad Casablanca inayoongozwa na aliyekua kocha wa Mamelod Sundowns...
Inashangaa sana kwakweli, haya mambo wanayofanya hayawezi kufanywa na mtu mwenye akili timamu. Ni vibaka/wahuni/watu wasio na kazi ndio wanaweza kuyafanya haya.
Saa 9 usiku unaacha mke/mume wako...