Hivi juzi vioo ngozi wa TFFkupitia kwa S. Kayuni walitangaza kuwa Kaseja na mzungu wa Yanga wanafungiwa mechi tatu kwa kutosalimiana na mgeni rasmi- Mkuu wa mKOA wa Mwanza A. kandoro.
Lakini...
Ni jambo la kusikitisha sana kuona Tanzania inaendelea kufanya vibaya katika kila nyanja ya michezo, siku si nyingi timu ya wanawake imetolewa kwenye mashindano ambayo ingewapa nafasi ya kucheza...
KOCHA wa timu ya taifa Jan Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 22 uku akimrudisha kundini mshambuliaji Gaudence Mwaikimba na Juma Nyosso ambao walitemwa kwa kipindi kirefu katika kikosi cha...
Working from home can be a great career option for people with all skillsets and lifestyles. You can set your own hours and even work in your pajamas - a pretty appealing alternative to the...
Ile hadithi ya klabu ya Simba kujenga uwanja wake imeaanza tena leo.
mwenyekiti wa klabu yetu hiyo mheshimiwa mbunge wa kuteuliwa Ismail Aden Rage amesema kamati ya utendaji ya klabu hiyo...
Nduguzanguni, wapenzi wa kabumbu..
Karibu katika ukumbi wenu muupendao ikiwa leo tarehe 15 mwezi wa nane, mwaka 2010, ni siku ile ambapo twakata utepe wa hiki kinyang'anyiro cha ligi bora zaidi...
Nijmegen (Uholanzi) - 13/14-nov-2010: kutakuwepo shindano la kimataifa la mchezo wa bao
Wamejiunga wachezaji ishirini kutoka Uholanzi, Italia, Ujerumani na Ureno.
Post jobs,blogs,videos,sale and look for things on sale in TANZANIA. Home is all free website and you can browse . Everybody can create a free profile and post jobs, real estates,videos, blogs...
Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk
katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo.
Kila siku...
Kocha wa Man. United alitetea goli la timu yake dhidi ya Totenhum lililofungwa na Nani katika mazingira ya kutatanisha. Habari kamili iko hapo kwenye link
Sir Alex Ferguson: Heurelho Gomes to...