kila siku nikifungua katika sehemu hii nipate kujua msimamo wa ligi yetu ya tanzania sioni thread inayozungumzia.
utaona mambo ya ligi za ulaya na hasa uingereza
naomba tutumie thread hii...
JEREMY INSON, Associated Press Writer
MILAN (AP) ― Cameroon striker Samuel Eto'o responded to racist taunts from Cagliari fans by scoring the only goal as Inter Milan beat Cagliari 1-0...
kwa kweli wana yanga wenzangu atuna budi kujipongeza kwa kumfunga mnyama kwa mara ya pili
na wakati huu tukielekea kupongezana si haba kuchukua maneno ya papic kwamba akuamini yanga ingeza mpira...
Mtanange wa watani wa jadi Kati ya SIMBA na YANGA utakaopingwa Jmosi utaonyweshwa moja kwa moja (live) na kituo cha Startv kuanzia saa 10 jioni, timu zote zimejinasibu kuwa zimefanya maandalizi...
Nimezitazama sana team zote za ligi ya Uingereza mwaka huu hakika kiwango chake kimepungua ajabu..naona Ligi ya Spain na Italia bomba mara kumi.
Nachokoza!
Ni vute ni kuvute mara wachezaji wamenywanganywa simu mara kambi ulinzi mkali yanga kunako Kirumba majira ya saa kumi tarehe ya 2010-10-16, je yanga watachomokoa mbele ya mnyama aliyetuka kwenye...
Mnasoma sana habari za uchaguzi, hebu kuleni tano bora:
Wengi tunafahamu kuwa Reggae Music ni mziki wa Wajamaica. Ni moja ya miziki ambayo ilivumbuliwa kwenye STUDIO na siyo kwenye majumba ya...
Shirikisho La Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemsimamisha kazi afisa habari wake, Florian Kaijage (pichani) kutokana na fedheha ya kushindwa kutimiza itifaki muhimu ya kupiga nyimbo za taifa...
Kwa wale wapenzi wa sposisis spotisisis..... Ghaaa sport ni kwamba kesho jmosi agape television network wataonyesha live mechi ya english premier league kati ya fulham na spurs, na huu ni mwanzo...
jamani hiki ni kichwa cha kawaida ama jamaa alibeba mizimu ya ufaransa..kichwa kimdondoshe hivi loh!!we zidane pumzika kwa amani kwa style hii mmh ulipokuwa unaelekea ungeingia na kisu uwanjani
TFF ni wajanja sana badala ya kushughulikia mambo mazito yakulidhalilisha taifa tena nyumbani kwa kufungwa na timu dhaifu ya Morocco wao wanaona suala la wimbo wa taifa ndiyo kivuno cha kutufanya...
Poleni na majukumu wadau, naomba nizungumzie kitu ambacho nimekiona na kimenikera wakati wa mechi ya taifa stars na morocco.
Kwanza: Utaratibu wa ukataji tiketi, hivi kweli kwa hadhi ya uwanja...
MOSES Kipsiro raced into the record books with Ugandas first double gold at a major international event yesterday.
He again defied a Kenyan onslaught, charging into the lead in the final 400m...
Kocha wa Simba FC Mzambia Patrick Phiri anatarajiwa kusign kuifundisha Azam FC mkataba wake utakapoisha mwezi November mwaka huu.
Source: Azam FC Official website
The bad omen of Stars losing the game started at the very outset, when CDs of the national anthems of two countries were nowhere to be seen, prompting the Tanzania Football Federation (TFF) to...