𝗠𝗔𝗗𝗨𝗡𝗗𝗨𝗞𝗔
Just imagine wewe KOLO umelipia App yako halafu admin anakudanganya Waziwazi Dakika ya 71 Chambi anatoka then Dakika ya 88 anafunga😂.
Kweli nimamini maneno ya Mzee wangu Rage...
Naona kabisa kwa trend hii tunaenda kupotea. Huu mwendelezo wa kila mtu kulaumu ooh timu mbovu mara wachezaji hawachezi mara sijui Mo kafanyaje kwakweli itenda kutugharimu... kivipi
1) Hii hali...
Naomba wanaojua mpira na wenye akili Timamu bila Ushabiki -Tudiscuss jambo hapa
mimi ni Fan wa YANGA kindaki ndaki toka mwaka 2000 lakini kwenye SWALA LA JEZI tunazengua saana! Na ukweli lazima...
Najiuliza tu unacheza na vitimu vya madaraja ya chini uko ulikoenda na vinafanikiwa kupata magoli No clean sheet dhidi ya vitimu dhaifu vipi ukikutana na prince dube? Vipi ukikutana na jean othos...
Baada tu ya Dogo kubwaga Manyanga ghafla Simu Nne Kubwa zilipigwa Kwake moja kutoka kwa mwana Bagamoyo kwa niaba ya Baba, ya Singida, ya Dodoma na ya Zanzibar kwa mwenye Timu yake katika Karatasi...
Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki...
Mtanzania Andrew Thomas Mlugu {uzito wa 73kg} ashinda mpambano wa kwanza wa mchezo wa judo katika mashindano ya 33 ya olimpiki ya majira ya joto huko nchini paris baada ya kumtoa mpinzani wake...
1. Kaizer Chiefs ya jana na ya sasa siyo ile yenyewe kwani bado Inajitafuta
2. Kaizer Chiefs ya sasa ( ya jana ) bado inajikongoja kwa miaka / misimu karibia saba
3. Kaizer Chiefs ya jana ( ya...
Yaani kabla ya Press Conference kuanza unawaambiwa Waandishi wa Habari kuwa Wewe huna Bosi katika hiyo Idara na kwamba huko ulishavuka.
Hivi ungevuka huko kama unavyojinadi ungekuwa kutwa...
Wakuu,
Kumbe na kwenye soka kiki ni dili!
… Tumewaambia kilele ni August 4, lakini kama ilivyokuwa utamaduni wa Yanga sisi tuna Wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni ndiyo August 4, na hiyo...
Kaeni mkijua nyie utopolo kuwa Haji Manara hayupo Yanga kwa ajili ya mapenzi ya timu hiyo, yeye yuko Yanga kwa ajili ya GSM.
GSM ndio inamlipa mshahara Yanga na mwenyewe amesema live kuwa...
Klabu ya Yanga Sc imemrejesha Ali Shaban Kamwe kwenye nafasi yake ya Umeneja wa Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo.
Uamuzi huo wa kumrejesha...
with manara records of abuse. this the lowest yanga have gone.
bad decision by the board and members.
this is bad. we don't need uneducated fools in this modern era of football.
Making 10...
Hapo vip!!
Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali.
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au...
Jana imefanyika match ya kirafiki huko Misri kati ya Simba zidi ya Telecom, match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl. Dakika 71 anatoka Chasambi anaingia Onana,chakushangaza dakika 88...
Naona kazi ya usemaji babu yetu Mzee Manara na yeye kaiingilia, yaani kazi iliyofanywa kwa ufanisi na weledi mkubwa, leo anaongezwa mtu mwingine.
Leo katika mkutano na wanahabari, yaani ikawa...
Timu ya Wanawake ya Kikapu ya Australia imepata matokeo ya kushtua baada ya kufungwa Vikapu 75-62 dhidi ya Nigeria kwenye Uwanja wa Pierre Mauroy Jijini Lille. Mchezo ujao wa Australia “The Opals”...
#MICHEZO Timu ya Simba Queens imethibitisha kuinasa saini ya kiungo Amina Bilal ambaye msimu uliopita alikuwa akiitumikia JKT Queens na pia aakipiga mnamo timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania...