Hapa ni baadhi ya makinda wachache wakiwa Uwanja wa Ndege tayari kwenda kupata utulivu Egypt
Pongezi kwa tajiri namba moja Mo Dewji, na uongozi wote wa Simba SC
Inasemwa kwamba kazi ya afisa uhusiano ndio kazi ngumu kabisa huku duniani. Kazi hii inahitaji mtu mwenye uelewa wa mambo haswa yale ambayo atakuwa akiwashirikisha watu kuhusu kampuni, taasisi na...
Je kama mdau wa soka unakubaliana na suala hili kuwa usajili wa Simba unalengo la kumaliza tatizo la Ajira Kwa watanzania ????
Na sio kutetea Mataji ?????
Dirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu za Yanga na Simba zikiwa zinaendelea kushusha vyuma vyao .
vipi mdau usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025
Tangu dirisha la usajili lifunguliwe tunasikia simba,yanga na azam hatusikii vilabu vingine vinafanya nini wala vinajiandaje huko mikoani.
Wachambuzi wote simba na yanga mpaka habari zinachosha...
Au mnaleta dharau?
Anyways " Engineer means business"
Guede tulikupenda sana lakini ulikosea sana kudemand pesa nyingi mapema kiasi hicho.. Issue yako ilikuwa bado haija mature. Huu ulikuwa...
Nimeshituka kuona seleman matola anaendelea kuwa ni sehemu ya benchi la ufundi kama kocha msaidizi. Sina mashaka na uwezo wa matola , Sina wivu naye , ila simba wangehitaji mabadiliko wangebadili...
Ushirikina ndio njia pekee inayotumiwa na Utopolo kufifisha nyota za wachezaj wa wekundu, huko kwa mwarabu Misri ndio mahali pake kusoma albadiri na dua nzito ya kafara.
Wachezaji wenu walindwe...
Huu ususi mpya uliofanywa na Simba sijui tuuitaje, wasusi kina Kalpana na maras tulionao humu watatusaidia ila ni wazi hii ni Simba brand new tunaenda kuiona.
Misimu miwili iliyopita niliwahusia...
Ni mwendelezo wa Yanga sc kusajili wachezaji waliotelekezwa. Mshambuliaji raia wa Burundi ,Saido ntibazonkiza amerudi tena Jangwani na kupewa kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia wana mboga mboga...
Manchester United forward Mason Greenwood has met senior football figures at the club for what have been described as "constructive discussions" about his exit from Old Trafford.
United forward...
Nimeona nilete kwenu huu utabiri niliouna kutokana na usajili nganga ngingi aloufanya Simba kupitia usimamizi mahiri wa boss Mo.
Safari hii hadi Mohamed Husein"Shabalala" ameletewa chalenge...
Ewe mwana Lunyasi mwenzangu, weka kituko kilichopo mtandaoni kuhusi usajili wetu wa kupaniki.
Wakati wa usajili, Sifa anapewa Mo ila ligi na michuano mbalimbali ikianza, Lawama zote anapewa...
Mchezo mpya wa Ngumi tofauti na ilivyozoeleka waanza uganda ni made in Uganda.
Mkanda wa ushindi wa pambano unawekwa juu ya mti mshindi wa ngumi za aina yake akiwashinda wenzie anapanda kwenda...
Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu 🇹
🗓️ 04 Misimu
⚽️ 34 Mabao
Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi
My...
Hivi nyie Utopolo a.ka Gongowazi, mnapataga wapi ujasiri hata wa kubishana tu na watu wa timu namba tano Africa kwa ubora? Level zenu ni Ihefu, Dodoma na KMC, hao ndio mnaweza kubishana nao. Next...
Niseme ukweli kuwa nampongeza mwekezaji kuamua kusajili vijana wadogo ambao ni wazi wengi hupambabana kuonesha uwezo wao kwani wanahitaji kuendeleza vipaji na vipato vyao kupitia soka.
Pamoja na...
UNA VISION KUBWA SANA, WE SUPPORT THAT , JUST MAKE SURE YOU SUCCEED.
COST = SUCCESS
yanga inaweza ingia kwenye madeni with nothing to show for it. kwa expenses yanga wameingia this year at...
Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans.
Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka...