Habari.
Mashabiki Wa Dar Young Africans Atuongei Kabisa Wala Kupiga Kelele Ambazo Hazina Maana Katika Kukuza Sector Wa Mpira Wetu Hapa Tanzania Na Africa Kwa Ujumla.
Imekuwa Tofauti Hivyo Ubora...
Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan.
Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki.
Siku ile alipozungushwa na...
Wanamkusanyia wachezaji wapya kocha ajae badala ya kusajili wachezaji kutokana na philosophy ya mwalimu. Nimemsikia kocha mpya wa Singida black stars akitoa angalizo kuwa viongozi wamesajili 90%...
Mada tajwa hapo juu ya husika, tunaomba TTF, Viongozi wa clab za simba na yanga mjitafakari Kwa kitendo kilichofanyika jana katka uwanja wa taifa mnatokosea heshima kuona mnachanganya mpira na...
Bila ya Salamu.
Huwa najiuliza nilichelewa wapi kujiunga na Simba Sc? Mpaka leo nikifikiria nakosa majibu.
Kifupi katika hiki kipindi cha wiki mbili nimeshuhudia chama langu jipya likifanya...
Kazini kwa Tshabalala kuna kazi, kwa tabia zake za kiswahili lazima aibe soksi au kitu chochote cha Valentine ili aonekane mbovu, na watakaomsaidia kuharibu kipaji cha Valentine ni watu wa Utopolo...
Hili wazo najua Yanga wataiba mwakani, Simba nawashauri ingawa mnaniudh sana kwa kukosa ubunifu, anzisheni banda lenu pale sabasaba mwakani mtapiga hela sana, mtauza CD za mechi za zamani...
Usajili ndani ya Simba Sc 🇹🇿 hadi sasa and players available
✅ Jean Ahoua 🇨🇮
✅ V. Nouma 🇧🇫
✅ S. Mukwala 🇺🇬
✅mzalimu 🇹🇿
✅hussen 🇹🇿
✅kibu🇹🇿
✅chasambi 🇹🇿
✅barua 🇹🇿
*️⃣✅ Lawi 🇹🇿
✅ A. Hamza 🇹🇿
✅ Omary...
Rais wa Simba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji amekutana na Bodi ya Ushauri na kufanya kikao cha pamoja. #WenyeNchi #NguvuMoja
Every body is entitled to freedom of expression, this is a constitutional rights.Ipo kwenye Bill of Rights.
Kutoa maoni ni haki ambayo nobody huwezi kuichukua, ndio maana Rais anavumilia watu...
Nawasalimu kwa jina la Jamii ya Wapenda Sports hasa mchezo wa football. Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka wa 2023. Kama jamii ya Wapenda michezo hasa mpira wa miguu, Kwenu Wapenda football lipi...
[emoji599]WILSON ORUMA:TIMU ZOTE 15 ZIUNGANE KUIZUIA YANGA ISICHUKUE UBINGWA
"Kama ambacho nimepata so far as to why Yanga Africa wanamuacha Joseph Guede na Kumchukua Jean othos Baleke ni kweli...
Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza...
Jana pale uwanja wa Mkapa mmefanya Mambo ambayo ni dhahiri hata nafsi zenu zinawasuta. Nyie ni Watanzania na mna Uhuru wa kuamini au kuabudu chochote.
Mna dini zenu lakini pia mna itikadi zenu...
Mimi ni Simba ila sikubaliani na huu uhuni wa kuchanganya Siasa na Mpira na tusipo piga kelele now mbele ya safari hali itakuwa mbaya zaidi.
Kwa nini kuwe na kiwango hiki cha juu cha kuchanganya...
Kwa wale wataalamu wa body language na video analysts.
Kwa namna UVCCM inavyotamkwa na muonekana wa uso na matamshi yanayotamkwa vinatia shaka sana kama ni maamuzi ya Ahmed.
Pia soma: Rais Samia...
Ukijaribu kufatilia contents za matukio mbalimbali pamoja na utambulisho wa wachezaji wa Yanga Afrika miaka ya hivi karibuni, Basi utagundua kuna ubunifu wa hali ya juu sana
Idara ya kidigitali...