Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
0 Reactions
16 Replies
582 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo...
13 Reactions
99 Replies
7K Views
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS Sababu ni hizi 1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
11 Reactions
252 Replies
12K Views
Nimeaangalia gemu vizuri, hata ukitoa povu lakini hizi ndio facts. 1. Utopolo hawana timu, umebaki ujanja ujanja tu ambao Azam walishaung'amua nje ya uwanja. 2.Utopolo wataishia hatua za awali...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Hii timu hamna kitu, yaani timu inayomtegemea mchezaji mmoja Kila mechi ndio upate ushindi? Siku uyo mchezaji akipatwa na majeraha ni wataomba mechi ihairishwe? Itoshe kusema Yanga hamna timu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Nami pia nimesikia video clips na maelezo kuwa MANARA anaachana na soka baada ya kudumu kwa muda mrefu. Ukiangalia interview za karibuni za Manara, tangu alipohama toka SIMBA,matusi mengi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwanamichezo Liston Katabazi analiburuza mahakamani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akilidai shirikisho hilo lililotangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka. Kwa mujibu wa Katabazi...
2 Reactions
5 Replies
552 Views
kama unajua kutabili matokeo ya yanga πŸ˜‚πŸ˜‚. weka yanga win na mshahara wako. upate wa 9months . weka nyumba 1 upate nyumba 9. Acheni siasa za mpira, walk the talk.
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
10 Reactions
139 Replies
4K Views
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC? Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Ufaransa ulienda kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia 2002 kule south Korea and Japan as double champions, having won the 1998 world cup and Euro 2000. Ufaransa walipangwa kundi A wakiwa...
3 Reactions
13 Replies
597 Views
Ndugu Wana Simba ....kama mtakubali kuwa goli la azizi ki dhidi ya mamelodi ni goli la halali .........basi tuta ahirisha kumsajili Chama coz bado kumtangaza tu. Otherwise...
2 Reactions
9 Replies
396 Views
Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024 Juni 29, 2024 Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku) Germany Vs Denmark (4:00 Usiku) Juni 30, 2024 England Vs Slovakia (1:00 Usiku) Uhispania Vs Georgia (4:00...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Inadaiwa kuwa Jose Mourinho ameamua kurejea katika Maisha ya kufundisha soka kwa kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa Fenerbahce ya Uturuki. Kocha huyo anatarajiwa kuchukua nafasi...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
kazini kwa Mzamiru kuna kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ simba wamejipata #chekakisport
1 Reactions
1 Replies
508 Views
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League...
2 Reactions
13 Replies
671 Views
Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Kama usajili wa Lameck Lawi ni kwenda kuziba nafasi ya Henock Inonga basi Simba wame-prove failure, otherwise Lawi ani-prove wrong. PIA SOMA - Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC - Hii Dunia...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…