Mashabiki wa Simba wajitafakari wasiwe mashabiki oya oya wanaodanganywa.
Leo wanamlaumu Mangungu, Siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi aliwapa tu ubwabwa na akamleta Manzoki aongee, basi wenyewe...
Ni baada ya leo kuichapa ManCity 2-1 uwanja wa Wembley huku golikipa Onana akiwa man of the match.
---
Manchester United imefanikiwa kubeba Ubingwa wa FA Cup 2024 kwa kuifunga Manchester City...
Tetesi kutoka katia vyanzo vya ndani ya Klabu ya Manchester United zimedai kuwa Kocha Erik ten Hag anatarajiwa kufukuzwa kazi mara baada ya mchezo dhidi ya Manchester City katik Fainali ya Kombe...
Itoshe kusema Mangungu anamizizi iliyo jikita kisawa sawa hivyo wanasimba mjiandae kwa maumivu makali msimu ujao mchangue moja wakati wa match akiingia uwanjani azomewe au apigwe mawe au msuse...
"Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu."
"Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza...
JUMA KASEJA: KILA KITU DIARRA ANACHOFANYA MIMI NILISHAKIFANYA ENZI ZANGU.
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba Juma Kaseja ameweka wazi kuwa ubora anaouonyesha nyota wa klabu ya Yanga Djigui...
Habari za wakati huu.
Jana tumeshuhudia mpira mzuri kutoka kwa timu zetu mbili bora zinazoenda kuwakilisha kimataifa CAF Champions League Msimu Wa 2024/2025.
Young Africans aliibuka mshindi...
Olivier Giroud:
"Watoto wangu waliniuliza: Baba, unacheza na Kylian Mbappe timu moja?"
"Nikawajibu: ni kweli lakini yeye ndiye anayecheza na mimi timu moja... Wakacheka".
Hapa jamaa...
TAIFA STAR'S IMEBEBWA NA YANGA
Ubora huu wa timu yetu ya taifa umeletwa na Yanga, kwa sasa taifa Stars wachezaji wanacheza kwa kujiamini hususani mabeki,
kujiamini kwa wachezaji wetu wa Yanga...
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
Hapo zamani za hivi karibuni, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye John. John alikuwa na rafiki yake wa karibu sana aitwaye Alex. Alex alikuwa kijana mwerevu, mwenye kipaji, na mwenye ndoto kubwa za...
Kuna namna wanahitaji kuendelea kutawala soka la Tanzania kwa msimu mwingine na hivyo wanafurahia sintofahamu hii hasa kipindi hiki cha usajili.
Tunawafahamu polisi mashabiki wa yanga lakini pia...
Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city
Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi,
Hii timu...
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na...
Naam ni Nuri Sahin alikuwa playmaker Mwenye kipawa cha Aina yake Ila alinyimwa bahati mwishoe kwenye career yake akaandamwa na majeraha.
Mnamo 1989 ndio Alizaliwa Nuri Şahin huku wazazi wake...
Anyway ni kusema wenzetu wanajua sana ku brand utalii wao na vivutio hasa hotel zinaonesha namna gani utapata malazi mazuri chakula kizuri na kampani.
Hapa Jf ukitaja utalii utaona vijana...
Kwa wanafuatilia masumbwi mtakuwa mnamfahamu kwa uzuri kabisa Luis Ortiz aka King Kong. Ni bondia kutoka Cuba a naye fanya vizuri sana. Kwa muonekano aisee ni copy kabisa ya Mgunda.
Wafananishe...
Hii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba.
Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua...