Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

TFF hebu oneni aibu basi, inakuwaje Tuzo za ligi ya msimu huu zikafanyike mwanzo wa msimu mwingine? Hili linashangaza sana maana mmeamua kuvunja hata kanuni yenu wenyewe kwa sababu Kanuni ya 11...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
My Take Usitukane Wakunga na Uzazi Ungalipo.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ https://www.instagram.com/p/C7jdVY-qIcF/?igsh=djM5NWJpenA2OXlq
0 Reactions
6 Replies
253 Views
Usajili wa clabu mbili kongwe Simba na Yanga ikiwa simba imemsajili Freddy na yanga imemsajili guedde Ila ukweli mchungu kuna usajili wa upande moja ni hasara tu so tuta judge kwa kuangalia mechi...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa. Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ Norway ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ Ireland ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi...
2 Reactions
7 Replies
522 Views
Mchezaji Bora nategemea atoke miongoni mwa wale wachezaji walioshinda tuzo za Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 wa kila mwezi. Wachezaji Bora tokea mwezi Agosti 2023 hadi Mei 2024...
3 Reactions
12 Replies
963 Views
I will be short These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today. 1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Shirikisho la soka nchini TFF limetangaza kuwa tuzo za TFF zitakuwa zinatolewa kwenye ngao ya janii
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Man UTD wako shirikisho, Chelsea wanajitafuta, vipi Simba kucheza shirikisho iwe kesi. Cha msingi tukubaliane na matokeo lakini uongozi ukubali kuwajibika, nionavyo hata mwakani hakuna...
4 Reactions
18 Replies
968 Views
Bado hata haijulikani jezi ipoje ila kibegi tangu itoke Dar es Salaam inatrend kuliko usajili wa Yanga na siku ya mwananchi. Kibegi kimezima hata kuhama kwa Mayele ,je Simba day itakuwaje kama...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Msemaji yanga kazidisha utani Soma alichoandika ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐Ÿ“ ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š. "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ง๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š ๐Ÿ“ ๐ญ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐›๐จ๐ฏ๐ฎ" ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐ง๐ฃ๐ž & ๐ง๐๐š๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐ฆ๐ž๐œ๐ก๐ข"...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
I don't see any other activities in quarantine except betting =) and playing in Dota. the world has gone mad, but there must be some financial income, at least to buy food. I continue to bet. but...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama unaangalia the way yanga wanavyo cheza sioni timu ya kuwatoa kama watarekebisha makosa haya ya mipira ya juu kwa wachezaji wao Yanga hawana mpira wa kupaki eti wajazane wote nyuma kuogopa...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
MALENGO YA SIMBA 2023/24 PLAN A[emoji116] [emoji735] KUFIKA NUSU FAINAL CAFCL [emoji735] UBINGWA FA [emoji735] UBINGWA NBC PLAN B [emoji735] FEI TOTO kutwaa ufungaji bora [emoji735] Simba...
1 Reactions
13 Replies
458 Views
Akiwa kwenye mahojiano yanayorushwa kupitia EATV katika kipindi cha Salama na Rais wa Yanga Engineer Hersi, Amesema kuna club ilikuwa imejipa utawala na kujiona wao ni vichwa. Sasa alikuwa kwenye...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji. Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira...
24 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu salaam, Imekuwa ni kasumba sasa kwa washabiki/viongozi pamoja na wachambuzi uchwara kuwa timu ya Simba ni bora hapa nchini kwakuwa bado ipo inashiriki ligi ya mabingwa barani Afrika...
8 Reactions
70 Replies
4K Views
Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji Aziza Ki sisi kama wanasimba tunamuona Okwi kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na...
2 Reactions
7 Replies
603 Views
Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu...
9 Reactions
97 Replies
4K Views
"Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile." Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video...
18 Reactions
54 Replies
5K Views
Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kuondoka ndani ya Klabu ya Manchester City, mwishoni mwa msimu ujao wa 2024/25 mkataba wake utakapomalizika. Guardiola (52) aliyejiunga na Man City Mwak 2016...
2 Reactions
69 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ