Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Gamondi huu siyo muda tena wakumchezesha Pakome dakika za Majeruhi kwani Pakome ana combination nzuri sana na Azizi ki , endapo Pakome akianza naziona hat trick Kwa Azizi k hii ndiyo furaha yetu...
2 Reactions
1 Replies
337 Views
Mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika unapigwa leo katika dimba la Olympique Hammadi Agrebi baina ya wenyeji Esperance dhidi ya mabingwa watetezi Al Ahly. Mchezo huo unatarajiwa...
9 Reactions
177 Replies
7K Views
Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba. Asante
3 Reactions
13 Replies
504 Views
Maroun Tchakei ni mahali pake kabisa kukipiga Simba msimu ujao, jamaa anajua kupiga krosi, anajua kumiliki mpira, ana nguvu, anapiga kona hatari mno na anajua kusambaza pasi za upendo, nikionaga...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
"Mara ya kwanza wakati nakutana na Ronaldo kwenye mechi nilikuwa naitumikia timu ya Parma. Dakika chache baada ya mechi kuanza, nilikutana nae macho kwa macho akiwa anafanya mikimbio huku...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu hiyapa ndo orodha yangu ya wachezaji wa kikapu bora wa mda wote kwangu Point guard Stephen curry John Stockton Shooting guard Michael Jordan Kobe Bryant Small forwards Lebron...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya Pamba Jiji kutoka Mwanza, jinsi mfumo wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Yanga...
8 Reactions
14 Replies
735 Views
Hu ni mfano hai katika maisha ya kila siku, sio kwamba kufanya kazi sanaa ndo kupata utajiri au ufahari kazi ni kipimo cha utu ni slagon tu. Ukiangalia katika mchezo timu ya Arsenal haijawahi...
2 Reactions
7 Replies
548 Views
"Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru...
5 Reactions
7 Replies
634 Views
Hatimaye, timu ya Pamba Jiji ya Mwanza imefanikiwa kurejea tena Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Mbuni FC katika mchezo wao wa mwisho wa Ligi ya NBC...
1 Reactions
7 Replies
611 Views
Kwa mwenendo huu naona club ya Yanga ikitawala league ya ndani kwa miaka mingi ijayo. Sioni mipango mikubwa kutoka club ya Simba, Azam. Naona Mambo yale Yale yakiendelea. Hofu yangu ni kwamba...
4 Reactions
15 Replies
961 Views
Ndugu zangu wanayanga na watz wengine wenye mapenzi mema na mpira wa nchi yetu Wote Leo tumeshuhudia mechi ya nusu final Crdb ukienda live hewani kutokea pale Geneva ya afrika (Arusha) Ndugu...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SCπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid πŸ•– 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5...
8 Reactions
510 Replies
18K Views
Kongole sana kwa huyu mwamba kuwa bingwa kwa mara nyingine β€œBACK TO BACK wa EPL! πŸ†πŸ‘πŸΎ
0 Reactions
3 Replies
498 Views
Bodi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wameamua kupeleka makombe mawili yanayofanana katika viwanja viwili vya Emirates ambapo utapigwa mchezo wa Arsenal Vs Everton. Kombe la pili litapelekwa kule...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
β€œTumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
19 Reactions
171 Replies
7K Views
Moto wa Man City wa msimu uliopita ndo uleule wa msimu huu tu hizi big club nyingine miyeyusho tu naona wanajitafuta man City hana mpinzani.
11 Reactions
92 Replies
3K Views
"Mungu ni wetu sote" , Nitakwenda na mfano wa nchi ya KOREA,(huko nyumba miaka 1961), wakati Tanzania inapata Uhuru, tulikuwa mbele Yao (kiuchumi)katika kusafirisha nje malighafi, lakini pia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ? Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za...
2 Reactions
1 Replies
315 Views
Nilitembelea website flani wanaposti mikeka imetiki yani sure odds fixed matches, nikalipa dola 30 takribani shilingi elf 80 kuungwa kwenye group, humo ndani ni upuuzi mtupu game wanazoweka ni...
10 Reactions
62 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…