Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huu ni mpira, Hii ni soka, Hii ni Derby. Mbona hamjawahi kuwakamata wanaosema "timu yangu ikifungwa mnikate kichwa? Maneno makali, Maneno ya kukera, Ndio Utamu wa derby. PIA SOMA - Polisi...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Huyu jamaa inawezekana akaja kuwa mbadala wa mayele, tumpe muda, magoli anayofunga si ya kwaida kabisa.
12 Reactions
20 Replies
1K Views
Habar mwanajukwaa Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2. Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na...
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwanza niwapongeze kwa kipindi chote hicho cha uwongozi wenu enyi viongozi wa Simba.Mliitoa Simba Shimoni(kutokuwa maarufu na tishio) hadi kuifanya timu maarufu Afrika kwa hatua mbalimbali...
2 Reactions
2 Replies
454 Views
Huu utitiri wa mashindano hauna afya, mwakani Yanga na Simba (au azam) zitashiriki 1. Caf ligi ya mabingwa 2. African Super league 3. Ligi kuu bara 4. Ligi ya muungano 5. FA 6. Mapinduzi cup 7...
4 Reactions
5 Replies
634 Views
Wajuzi wa Soka hebu tupeni kilichotokea CAF. YANGA baada ya kufungwa na Mamelodi ktk Robo Fainal hawakuridhika na kuamua kupinga Uamuzi wa Refa wa kukataa Goli alilofunga Aziz Ki na kukata rufaa...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Mimi siupendi uongozi wa Mangungu hata kidogo, cmpendi pia Try Again wala Ceo Iman Kajula. In a nutshell, wameshindwa kuleta furaha Simba na hawastahili kuendelea kutuongoza kabisa kabisa...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na pambano Kali la ngumi Kati ya Ryan Garcia na Devin Haney pambano ambalo Davin aliangushwa chini mara 4 huku akichezea kichapo kikali, Kumbuka Davin ni bondia...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Braza, Wewe ni mchezaji mkubwa. Wewe ni Maestro. Lakini bΓ adhi ya vitendo unavyofanya uwanjani haviendani na ukubwa wako. Kitendo ulichofanya Jana dhidi ya Kibabage si cha kiungwana, si cha...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Juxi asbh nilikuwa airport kuchykua maokoto ya moja ya tax yangu Huwa napenda kukaa na madreva tukapiga story Mmoja a .madreva akaniambia unamjuaaaa......Ry wa Simba yes Nimemchukua tukaendaa...
2 Reactions
1 Replies
604 Views
Research kichwa cha habari hapo juu kama ujaelewa subiri matokeoooo Dk Pdidy
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Tukielekea mechi ya watani 20 apr yanga atashinda kuanzia 2+ FT KUANZIA KOLI 3+ Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili magoli yatakuwa ya kutosha Wafungaji wa yanga kati ya Mzize...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
with how guede and gamondi plans works. don't waste you hard earn money kwa hii game. 1. GAMONDI WILL DISAPPOINT YOU. amini atakuja na plan mbovu . unbelievable plans. with guede up front...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
... [emoji408] 𝗕𝗔𝗗𝗒 π—žπ—œπ——π—’π—šπ—’ Bado kidogo Yanga SC waivunje rekodi yao wenyewe ya kutwaa Ubingwa mara (3+) mfululizo katika awamu (4) tofauti. Tangu ligi kuu Tanzania bara ianzishwe, Yanga SC ndio...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
SIMBA sasa acheni kujifananisha na Yanga. Munafosi sana tufanane ila tumewazidi mbali sana kwa ubira. Tumechukua pointi 6 kwa kuwafunga jumla ya gori 7 nje ndani. Hivi ni kwa nini mlitamba eti...
4 Reactions
4 Replies
752 Views
Wachezaji mapro wamebadili sana soka safi kuwa la kuonekana na kuvutia. Focus ya mchezo imekuwa ni matokeo kwa timu na sio mbwembwe za kishamba za anaoanao. Soka safi la kisayansi la kitabuni...
2 Reactions
1 Replies
340 Views
Jana tumeona kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi na Gamondi, ni mtu wa kukaba kwa macho tu.
3 Reactions
5 Replies
716 Views
Kwa macho ya kimpira naona Mzamiru ana vitu vingi kumzidi Babacar Sarr. Sarr ni mzito na ndiye anaeigharimu simba kwa kushindwa kukaa eneo lake na kukaba kwa wakati. Sijui kamati ya usajili ya...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimewatazama makolo kwa jicho la kiufundi zaidi na nimegundua bado wana safari ndefu isiyopungua miaka 4 ili kufikia walau nusu ya ubora wasasa wa Yanga SC. Kila nikiwasikiliza na kuwatazama...
6 Reactions
12 Replies
986 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…