“Huwezi kumtoa Baleke, Phiri utuletee Jobe sijui Fred wanasimba wasiwe waoga kusema, hapa uongozi umeteleza hata kama wanataka kwenda nusu fainali au kuchukua ubingwa wa Afrika lakini ndio Center...
Vijana wetu wa Taifa Stars leo wanakutana na Bulgaria katika mechi ya kirafiki, uko Baku, Azerbaijan katika kiwanja cha Dalga Arena mida ya saa 10 jioni, masaa ya Africa Mashariki.
Ni matumaini...
Wakati tunasuburi makabidhiano rasmi, na kama walivyoahidi kuwa watataja jina jipya leo. Nadhani jina sio muhimu sana, matunzo ndio muhimu kwa huu uwanja.
Uwanja wa Taifa kubatizwa kesho
na...
Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia...
Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena...
Kupitia ukurasa wao wa X zamani Twitter, East Africa TV wametuarifu kuwa wakandaji wa Yanga (Mamelodi Sundowns) watawasili nchini Machi 28 kwaajili ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya ligi...
Tokea timu Yangu pendwa ya Yanga sc ifungwe na azam fc, katika mchezo wa ligi kuu, akili yangu haiko sawaa, dishi limeyumba kabisaa, naongea peke yangu kama mwehu njiani.
Nakunywa pombe siku ya...
Malezi anayopewa mtu utotoni kwenye mambo na matukio mbalimbali ndani ya familia, jamii na taasisi mbalimbali kama za kidini, shule na mpira vina uhusiano mkubwa na tabia na ufanisi wa mtu huyo...
Kwa nini Kauli Hii Imekuja baada ya Kuiona Timu Ya Yanga Kuingia robot faina Club bingwa?
Habari wana JF naombeni Ufafanuzi Wa hili Swala Twende Moja Kwa Moja Kwenye Swala Hili
Linapokuja swala...
Kauli ya Waziri wa Michezo Ndugu Ndumbaro kuagiza wananchi watakao-vaa jezi ya Mamelodi au ya Al ahly wakamatwe na kupelekwa polisi ama waingie kwa Passport imeleta sintofahamu.
Chama cha Soka...
Sema huu uzi kuna mda unanichefua flani ivi ila nikiona Kauvaa ZWANE, Nikisogeza jicho nikakutana na mnyama RONEN WILLIAM, kidogo na value yake inapanda naona naweza kuutupia kwa mkapa.
Tukutane...
Msimamizi Mkuu wa Digitali na Maudhui wa Yanga, Priva Abiud maarufu Privaldinho kupitia akaunti yake "X" amejisahau na kutumia picha ya Klabu ya Simba kwenye kuhamasisha mechi yao dhidi ya...
Nasemea kama shabiki mmoja wa Simba/ Yanga akiamua kuvaa jezi ya Mamelody/ AHLY Kisha polisi wakamkamata ikakichukuliwa picha. Mamelody/ahly hawawezi kuitumia picha hiyo kudai kuwa OUR FANS WERE...
Salaam wakuu.
Hivi sasa tunaona serikali na wadau mbalimbali wakitoa support kwa timu za mpira za simba na yanga kuelekea michezo yao ya robo fainali klabu bingwa barani afrika.
Inatokea media...
Katika soka kuna wachezaji wamebarikiwa sana vipaji vya aina yake. Kuna baadhi yao kwa vipaji hivyo wamekuwa ni wenye kujisifu na kuleta dharau kwa wenzao.
Leo tuwatambue wenye vipaji vikubwa na...
Nimeona Jana kauli ya Waziri kuwa hataruhusiwa Mtanzania kuingia uwanjani na jezi ya Team ambayo siyo ya Tanzania, Mfano Mtanzania anaeishabikia team ya Mamelod hataruhusiwa kwenda kushuhudia team...