Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Ndumbaro amesema Serikali itakutana na Shirikisho la Soka nchini na klabu za Simba na Yanga ili kuona inatoa mchango gani kuhakikisha timu hizo...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Naandika nikiwa na akili timamu wala sijawahi kuwaogopa mamelodi kukutana na yanga bali niliogopa sana kama asec angekutana na yanga wengi mtaniona mjinga lakini mtaelewa baadae. Timu zote CAF...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia...
0 Reactions
5 Replies
671 Views
Hii inaweza kuthibitika Leo kwani marefa wanapochezesha mechi ya yanga na Azam mara nyingi wanacheza chini ya kiwango Chao na mechi kuonekana Kama vile bahasha imetembea. Wachezaji wa Azam...
1 Reactions
4 Replies
362 Views
Robo fainali CAFCL Kickoff time Yanga SC Vs Mamelodi 30 Machi,2024 Jumamosi saa 3:00 usiku BENJAMIN MKAPA. Hii maana yake Simba SC Vs Ahly itakuwa tarehe 29 Machi, 2024 Ijumaa saa 3:00 Usiku pia.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
πŸŽ™οΈ ALI KAMWE: β€œMsimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Poleni Young Africans lakini huo ndiyo ukweli ambao wengi wenu hawataki kuusikia kamwe!. Msimu huu wa Mwaka 2023/2024 Bingwa wa ligi ya NBC ni AZAM SPORTS CLUB!. Naomba kama kuna mtu anabisha...
-1 Reactions
11 Replies
1K Views
Binafsi ni mwana Simba lakini kuna kila dalili droo ya Yanga vs Mamelodi ilipangwa kimkakati , ikihusisha mawazo tofauti tofauti hususani YANGA na Mamelodi ziko kwenye kiwango bora kwa sasa ...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Mamelodi Sundowns wanasema lengo lao sio kufuzu bali kuipiga Yanga 'nje ndani kwa kipigo kizito' ili kukusanya pointi za kujihakikishia kufuzu Klabu Bingwa Duniani. Masandawana wamedhamiria...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu Habari, Tangu timu hizi mbili za Kariakoo kuvuka hatua ya nusu fainali, mengi sana yamejitokeza kwa baadhi ya mashabiki hadi viongozi wa serikali. Tunafahamu kweli faida ya kupeleka timu...
2 Reactions
18 Replies
869 Views
Ilikuwaje kwa viongozi wa simba wakumuuza Raly Bwalya na kumnunua Isamel Sawadogo? Nimetafakari hili ila nimekosa nimekosa majibu. Naona kuna viongozi wanahujumu hii timu ikichangiwa na kelele za...
1 Reactions
6 Replies
528 Views
Hivi kweli zile kadi nyekundu kwa Erasto na Ulimwengu zilistahili kutolewa kweli? Au Mimi ndiyo mshamba wa Sheria 17?
0 Reactions
13 Replies
603 Views
"Sisi Yanga SC siyo Timu ya Kulialia na Kudekadeka kama Wengine kuomba Mechi zao za Ligi zisimamishwe wakidhani hivyo Viporo vyao watavila wakati Yanga SC tumejiandaa kuhakikisha Viporo vyao vyote...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
tuna game ngum na muda wa kujiandaa unaenda kumezwa na haya mashindano uchwara, Taifa stars inatarajiwa kurudi tarehe 27, hatujakaa sawa tarehe 29 kuna mechi ngumu dhidi ya Al Ahly Kuna tetesi Al...
3 Reactions
8 Replies
601 Views
Klopp saw Sir Alex Ferguson celebrating his success as a horse-racing owner at Cheltenham last week, but the days when the Scot towered over this fixture and United's dominance in general are long...
0 Reactions
10 Replies
456 Views
MIES (Switzerland) - After four long years of waiting, the prestigious FIBA Basketball World Cup 2023 is just less than Two days away. Here's what you need to know to be able to follow all of the...
1 Reactions
11 Replies
881 Views
Yanga Infrastructure Development Plan 2019 Ndugu yangu Jemedari Said Kazumari hebu acha kupotosha umma kwa taaluma isiyo yako. Hebu ngoja tukuelimishe juu ya jambo hili ili records ziweze kukaa...
14 Reactions
24 Replies
3K Views
Mapema leo, Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Eng. Hersi Said wamekutana kwenye kikao maalumu cha utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano Serena Hotel, Jijini Dar Es Salaam...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.πŸ‘€πŸ† Mamelodi.,........24% Al ahly........20% esperence ....14% Petro atletico 12% Young Africans .....10 %...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
... 🚯 π™ƒπ™Šπ™…π˜Ό π™•π˜Ό π™†π™„π™…π™„π™‰π™‚π˜Ό π™†π˜Όπ˜½π™„π™Žπ˜Ό Baada ya Simba SC kupoteza dhidi ya Prisons (1-2) na kushinda kwa mbinde (1-2) dhidi ya Coastal, imeibuliwa hoja DHAIFU sana na baadhi ya Maashabiki maarufu wa Simba...
16 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…