Japo mimi ni utopolo lakini hawa ndugu zetu wamezidi umbumbumbu. Hivi hawa viongozi wa simba nani kawaloga? Hivi wanashindwa vipi kuuchagua uwanja wa Chamazi kwa ajili ya mechi zake za nyumban...
Ikiwa imepita siku moja tangu Simba amshushie kipigo kizito jwaneng galaxy pale kwenye dimba la Benjamin William mkapa, ni kawaida duniani kote lazima kutakuwa na team ambazo zina upinzani kwenye...
Hawa ndugu zetu sijui wamelogwa na nani, Wakati dada zao wanautumia chamazi kama uwanja wa nyumbani wao wamekimbilia mkoani Morogoro kisa wanaogopa kulogwa.
Walikimbilia CCM kirumba mkoani Mwanza...
Ukweli usemwe tu katika sajili zilizofanyika simba msimu huu Fred Koublan ni usajili mbovu zaidi, ukimuangalia uwezo wake uwanjani ukitoa uwezo wake wa kucheza rafu za ovyo na kupiga maboko...
ZAMANI mzee Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kupigwa picha akipanga foleni kuingia katika pambano moja la timu yake aipendayo Yanga. Wakati ule alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Alipenda zaidi soka na...
Kuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa, huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande.
Hiyo...
Kwanza kabisa nina furaha kwa matokeo ya mtani ya hapo Jana,
Pili maombi kwenda kwa uongozi wa klabu ya yanga, ambayo ni kuwahimiza wachezaji waendelee na spirit ileile bila kujali aina ya...
Hii bila shaka ipo kwa maslahi ya watu flani, sie wengine tunafata mkumbo tu,
Ni kweli ina faida yake ila hasara yake ni kubwa sana, imagine unakataliwa goli la halali kabisa ambalo pengine...
Hawa tulionao akina mshery na metacha hawapaswi kuwa yanga. Kuna magolikipa wazuri sana tunaona watatusaidia siku DIARA akiumia ila sio hawa madogo. Golikipa wa prison yona amos, golikipa wa...
Wakuu naangalia marudio hapa ya mechi ya simba na prison.
Naona hapa simba wamechomoa goli dakika hizi za lala salama
Tukiendelea hivi chama atachomoa labda iwe mbili kwa mbili!
Ila sasa huu...
Mike Tyson vs Jake Paul officially announced as date set biggest event in boxing history.
Jake Paul rose to combat sports fame when he knocked out former NBA player Nate Robinson on the...
Kila timu ikicheza na Simba unaona inaikamia sana.
Ukitaka kujua kuwa Simba huwa inakamiwa, ngoja timu inayocheza nayo ishinde.
Kuna timu iliifunga Simba 5-1 hadi ikachonga na bango.
Kila timu...
Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili.
Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni...
1. Simba na Yanga hongera, kujipa nguvu nyumbani
Mmeonesha ubora, bara pia visiwani.
Mmeionesha dira, kwamba mmekuza Fani
Kaza buti msikwame, shikilia hapohapo
2. Kaza buti msikwame...
Baada ya Marcelo kwenda Real Madrid walikutana pale na Mbrazil mwenzake Ribson Robinho aliyekuwa star wa timu.
Marcelo akiwa ananyoa kipindi hiko akajijuta anafanana sana na Robinho kiasi cha...
Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari.
Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo.
Jioni...
Naona Prince Dube ameaga anaondoka Azam, na assume ametimiza masharti aliyotoa Azam, je ataruhisiwa kujiunga na club nyingine wakati dirisha la usajili limefungwa, Januari?