Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

[emoji599]| PRINCE DUBE UPDATES [emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Striker wao, Prince Dube yanaendelea ambapo Azam wanahitaji kiasi cha USD 300,000 sawa na Tsh 765M ili kumuachia mchezaji...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Hapo vip!! Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia. Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi. Yanga ni timu ndogo sana...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Bora wote tupoteze
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Injinia Hersi katikisa afrika unaambiwa kimyakimya baada ya kutoka Ivory coast kumsaini Ki aziz ambaye amekiri kwamba Yanga ndiyo klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa kabisa Afrika mashariki na...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Uwezi kutegemea ubingwa Kama timu yako aina mwendelezo wa kupata matokeo, Leo timu inadroo kesho inapigwa keshokutwa inashinda! Timu zinazocheza kibingwa zinapata matokeo ata zikiwa kwenye Hali...
3 Reactions
3 Replies
479 Views
Kuna tetesi ya Bruno Gomez kuondoka Singida Fountain Gate. Naomba timu yangu kubwa Simba sports club tumuwahi mchezaji huyu na bonge moja la kiungo. Simba kwa siku za hivi karibuni tunakosa kiungo...
2 Reactions
16 Replies
905 Views
Jwaneng Galaxy anapokelewa Avic Town iliko kambi ya Yanga.. Yanga wanaondoka kwenda Egypt hosteli zao wanawachia wakina Baruti Mbaya Zaidi video analyst wa Yanga wakamuacha Kambini ili asaidiane...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi. Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
BREAKING: BONDIA CHANGARAWE AFANYA KWELI USIKU HUU ITALY, AMTWANGA MVENEZUELA KWA KO! Na Nsangu Kagutta, Italy Yusufu Luccasi Changarawe usiku huu ameing'arisha Tanzania baada ya kushinda...
1 Reactions
8 Replies
755 Views
Katika taasisi kubwa hapa duniani Kuna Maafsa habari au wasemaji wa taasisi hizo.Achilia mbali taasisi pia Kuna wasemaji wa serikali hususan katika masuala ama jambo Fulani. Simba sports club ni...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Tarehe ya drop Iko hapo chini Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi. Mwaka huu 2024 ni mara ya...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
MABINGWA wa Botswana, Jwaneng Galaxy, wamewatuhumu vigogo wa Tanzania, Simba SC kwa mbinu za kichinichini, ikiwa ni pamoja na tuhuma za kuwekewa sumu kwenye vyakula, kabla ya mechi yao ya Ligi ya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Liverpool Machi 10 Man City (N) (imeahirishwa) Everton (U) Machi 31 Brighton (N) AprilI 4 Sheffield Utd (N) Aprili 7 Man United (U) AprilI 14 Crystal Palace (N) Aprili 20 Fulham (U) Aprili 27 West...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Netiboli Tanzania ‘CHANETA’ Bi Rose Mkisi amejiuzulu nafasi yake baada ya sakata la kuishutumu Serikali kwa upendeleo. Mkisi alinukuliwa na Redio moja akisema Serikali...
0 Reactions
2 Replies
499 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Netball nchini Tanzania , Rose Mkisi amejiuzulu wadhifa huo kwa madai kwamba serikali imekitelekeza Chama hicho na Timu zake , hawaungwi mkono wala hawasaidiwi chochote ...
5 Reactions
7 Replies
664 Views
Naona kelele za Mashabiki wa Simba sc juu ya Kejeli na kusema kuwa "Belouzdad wataichapa Yanga" Hakuna shabiki anayezungungumzia ugumu alionao Simba sc huko ivory coast, NALIA NGWENA najiuliza je...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE akiomba kuondoka kwenye klabu hiyo. Taarifa ya klabu inasema Azam FC wamemjibu na kumwambia anaweza kuondoka ila kwa kufikiwa kwa vipengele...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…