Ewe Mwana lunyasi, Tuendelee kuhamasishana ili Jumamosi tukamkande Galaxy pale kwa Mkapa.
Katika kuelekea mchezo huo, Afisa habari wetu ametupa hamasa wana lunyasi kwa kuuita Inonga Day au...
Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe...
Ushindi wa magoli 4-0 wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad umechangiwa kwa ukubwa na Pacome Zouzoua aliyeonyesha performance nzuri sana yenye spirit ya hali ya juu sana katika siku yake ya "Pacome Day"...
Kipindi Robetinho amekuja Simba, alikuja na vibe lake la ushangiliaji. Upande wa pili wakaanza kumkejeli sana kuwa anashangilia kwa kukimbia kimbia kama kichaa. Ikafika wakati nadhani uongozi...
Senzo alipokuja kuwa CEO wa Simba ndo hapo mabadiliko makubwa yakaanza kuonekana uwanjani,viongozi wengi walikosa upenyo wa upigaji na kumchukia,usajili mzuri ukafanyika na Simba ikafanya...
Karimu Mandonga ni bondia aliyeanza safari yake ya masumbwi miaka kadhaa iliyopita. Na inavyosemekana, miaka ya nyuma alikuwa ni bondia mzuri sana.
Swali ni je, nini kimempata Mandonga?
Me nilishawahi kusema na nitaendelea kusema Ntibazonkiza ndio anamnyima uhuru chama, sababu nafasi anayocheza ndio alikua akiicheza chama na kwa ubora takribani misimu yote aliyocheza simba...
Simba SC itacheza mchezo wake wa mwisho wa Kundi B wa CAF Champions League dhidi ya Jwaneng Galaxy siku ya Jumamosi ya March 02, 2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kuelekea mchezo huo Meneja...
Kiufupi hii timu ya yanga inaendela kuleta madhara, na mfano ulikuwa baada ya simba kufungwa tano walifukuza kocha , na pia walitakwa kumfukuza chama.
Algeria: Kufuatia kipigo kikali cha bao 4-0...
Kuisemea Team ambayo haina uwezo ni kazi jamani nyie achen Mtu unajitamba Jumamos tunaenda kumaliza kazi Mashabiki Njooni..
Mnyama Robo anatinga,ghafla Akili inarudi inakwambia huo uwezo...
Tanzania imekuwa ikifuzu kwa kuunga unga Kwenye afcon 2019 kule misri na sasa afcon ya Ivory Coast .
Ukiangalia matokeo ya mechi za kufuzu na ukalinganisha na matokeo ya tarehe 17 Jan dhidi ya...
Mashabiki wa Team kubwa kubwa Afrika kama Yanga saiv mnatusimanga kua sisi MAKOLO hatujashinda goli 4 au 5 kwenye uwanja Mkubwa Afrika Mashariki na kati BENJAMIN MKAPA NATIONAL STADIUM..Na Mnaenda...
Mudathir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara.
Viongozi wa Azam FC na tajiri wao...
Nimesoma sehemu kuwa Fiston Mayele atakwenda kwenye Kambi ya Yanga huko Egypt. Kwa ushauri wangu nadhani asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga kwasababu ni dhahiri yupo tayari kuihuju timu...
REKODI YA SIMBA NA YANGA LIGI KUU PEKEE
P W D L Pts
Yanga SC 98 36 33 26 113
Simba SC 98 26 33 36 83
MATOKEO YA MECHI ZILIZOPITA ZA WATANI WA JADI;
JUNI 7, 1965
Yanga v...
Mtalalakika ooh kiwango ooh nasemaje
Wale wachezaji wa stars wapimwe kilevi kabla ya kuingia uwanjani
Kwa mpira ule wa zambia kuna shida sio tu kiwangoooooooo
Hairuhusiwi chini ya miaka 19