Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa.
kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya...
Wanasimba wenzangu
Nikiwa kama shabiki wa simba kindaki ndaki naumia sana kuona viongozi wetu wakitupiga namna hii..
Haiwezekani watuletee teka bovu kama huyu Fred..!
Hivi si hata pale mtibwa...
Mr Chairman of CRB
I think all is well with you.
I would like to remind you to do all what I have told you the day before yesterday against your do or Die match versus Utopolo.
Please, do not...
Yanga tuna ujinga mwingi sana
Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake
Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua
Yanga home games zetu...
Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa...
We dogo ulianza na vinjuka Aziz Ki day sisi na heshima zetu tukapiga vinjuka na vitambi mchomoko vyetu mtaani tukawa vituko!!
Sasa tupake rangi vichwani kweli? Gharib atapaka? Au ni wale wale...
Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu.
Asec vs...
Kuna kipindi Senzo akiwa mtendaji mkuu wa yanga alikwenda kuipokea timu kutoka south Africa ilikuja kucheza na Simba kwenye mashindano ya klabu ya klabu bingwa Afrika.
Kitendo cha Senzo kukutana...
Tunataarifa na aina ya mbinu kubwa wanazotumia hawa jamaa kupata ushindi hasa wakishindwa mbinu ya kutumia pesa.
Leo mbinu pekee iliyobaki kwa yanga ni kutumia kete yao ya mwisho inayowapa...
Waarabu mchawi wao jua tu
Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi.
Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana...
Nawatakia ushindi kesho kwenye mchezo wenu mgumu dhidi ya Wydad mkiwa nyumbani.
Japo timu iliyokuwa ni mbovu kuliko timu zote zinazoshiriki klabu bingwa msimu huu ila nawaombea hivyo mshinde...
Kwa mtazamo wangu kelekea mechi ya kesho naona kabisa mnyama naenda kutoa sare kwasababu Misosa watacheza wamerelax kwakuwa hawana cha kupoteza na Simba watacheza kwa umakini mkubwa kuogopa...
Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika.
Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,..
Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu...
Mnajisifia mnashinda goli 5, mtuonyeshe ni mechi zipi mmefunga 5 bila penati?
Tuliwapiga 6-0, 5-0 -4-1 , zote safi bila tuta za mchongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuwa mi ni shabiki lia lia wa Simba lakini huyu jamaa ameibadili Yanga na ana Vission, club ya Simba imezungukwa na genge la wapigaji kuanzia mdhamini mkuu.
Kila mkataba wa Yanga kuna...