Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya...
Dawa haramu. hizi ni dawa zilizopigwa marufuku kutumika na wachezaji either wa Mpira wa miguu, riadha au hata masumbwi kwani dawa hizi zinavichocheo ambavyo huweza kumfanya mchezaji kucheza bila...
Kwa mchezaji yeyote anayetaka kucheza yanga na ama aliyepo yanga kwa sasa, ajue hii ndio timu ya hatma ya ubora wake.
Ubora wanaouonesha kwa sasa hautawahi kuonekana tena akisajiliwa na timu...
Match Day....
#nguvumoja#
Kikosi Cha Simba Kinachoanza.
Kikosi cha Geita Kinachoanza.
Updates...
Mpira Unaendelea
06' Simba wanafanya mashambulizi yakushtukiza kwenye lango la Geita...
Natumaini u buheri wa afya.
Kumekuwa na mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uchezaji wa Simba. Ukweli ni kwamba baada ya Simba kujitathimini kwa muda mrefu imeamua kubadili falsafa...
Je Yanga huwa wanatoa laana kwa wachezaji wanaohama klabu yao?
Mifano iko wazi kama ifuatavyo...
Frank Domayo alitoka Yanga akiwa fomu sana akaenda Azam Fc. Kila mmoja ni shahidi juu ya...
Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika...
Zaki Khellaf huyu ni mmoja wa wasakata kandanda 'mahiri' zaidi kuwahi kutokea duniani. Ni mraibu wa soka anayetokea nchi ya Algeria anayefahamika kwa jina la Chouchaa(Shusha) maarufu duniani kote...
Katika pita pita zangu za kuangalia mechi za hivi karibuni kati ya Belouizdad alizocheza na mechi za Al Ahly alizocheza nikaja kustushwa na hali ya ratiba ya ligi ya Misri.
Al Ahly mara ya...
Sisi mashabiki wa Yanga tulimvika Mayele ukubwa ambao hakustahiki
Tulimwimba mno lakini me nilimwona ni mchezaji wa kawaida sana
Kuna strikers walikuja Tanzania wakafanya makubwa lakini...
Katibu mkuu wa kamisheni ya ngumi TPBRC, George Silasi amesema kuwa kwa sasa kamisheni ya ngumi haiwezi kuwaruhusu Mwakinyo na Twaha kiduku wapigane.
George Silasi amesema utofauti wa uzito ndio...
Kuna kipindi nilihamia team nyingine kutoka yanga nikakuta kule mashabiki wachache nishazoea shangwe kufunga kukawa shida nikasema ndio nimeisha au Ikn sikuwaza majini.”
“Kuna wachezaji wakitoka...
Huyu ni mchezaji ambaye amepata nafasi ya KUSAJILIWA na kocha mmoja katika nyakati tofauti kwenye klabu tatu.
Ni mchezaji wa Daraja la Juu na hata kocha aliyemsajili pia ni wa Daraja la Juu, je...
Hii timu ina viongozi wasiokuwa na maono kabisa na upigaji uliokithiri, pale mo arena tayari pana pitch nzuri tu. Kilichobakia hapo ni maboresho madogo tu.
Vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji...
Tuhuma za Yanga kutupia majini wachezaji wake imenikumbusha nyuma kidogo. Imenikumbusha nyakati kina Ngasa, Ajibu, Domayo, Niyonzima (orodha ni ndefu) wakati wanaondoka Yanga.
Wakiwa kwenye piki...
Sijui kwanini Azam media wanalazimisha timu yao ya Azam kwamba ni derby dhidhi ya wakongwe wa Kariakoo?
Kwanza ni timu ya juzi hakuna derby kati ya baba na mtoto,
Mafanikio ya mataji haiwezi...
Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila...
Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini.
Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu...
Tatizo la Mayele ni majivuno fulani ambayo anayo. Anafahamu kauli yake itazua taharuki nchini kwa sababu bado ni maarufu hapa nchini.
Angeweza kukaa kimya tu na kufanya mipango yake kuliko...