Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Dar es Salaam. Tarehe 09 Februari 2024: Baada ya wateja wanne wa Benki ya CRDB kupelekwa nchini Ivory Coast kutizama mechi za ufunguzi za Michuano ya Mataifa Huru Barani Afrika (Afcon), wateja...
1 Reactions
15 Replies
878 Views
Hapa tutaangalia mambo mengi kuhusu maandalizi ya Afcon, viwanja, burudani,fursa za kibiashara, uwekezaji wa mitaji na matukio kuelekea 2027, imebaki miaka 4 na miezi kadhaa.
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa Kombe la Matafa ya Afrika (AFCON 2023) kila mchezaji anatarajiwa kupata Dola 82,000 pamoja na nyumba ikiwa ni ahadi ya Rais wa taifa hilo, Alassane Ouattara...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Pesa, nyumba na heshima zinatolewa kwa wanasoka kutoka Ivory Coast na Nigeria, baada ya mchujo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Jumapili. Kila mchezaji katika kikosi kilichoshinda cha...
1 Reactions
1 Replies
606 Views
Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika...
33 Reactions
13K Replies
446K Views
Visanga vya mpira wa Tanzania havitakaa viishe, nimemsikia msemaji wa Simba akisema kuna majini wazuri na wabaya kwa Imani yangu ni Big No majini ni roho chafu zilizoasi mbinguni na kutupwa...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Ukiangalia takwimu za Yanga msimu uliopita 2022/23 chini ya Nabi katika mechi 15 za mwanzo wa msimu, zinazidiwa na Yanga hii chini ya Miguel Gamondi. Takwimu hazidanganyi. YANGA 2022/23 -...
7 Reactions
5 Replies
731 Views
Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa AFCON 2023, mfungaji wa goli la ushindi Sebastien Haller alihojiwa na Waandishi wa Habari, akiwa katikati ya mahojiano akaanza kulia. Hatua hiyo ilitokana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Haijawahi kutokea gemu rahisi kati ya Yanga na Prison ni either gemu itaenda droo, Prison Kufungwa au mtu kupata kadi nyekundu ndio imeisha hivo na leo muda mfupi uliopita pale Sokoine. PRISON 1...
3 Reactions
11 Replies
963 Views
Mkufunzi wangu wa shule flani alipata kunijuza maana ya Agent Provocateur kwa kifupi hawa ni watu wanaoweza kuwa nje au ndani ya mfumo na wanatumika kuzima hot issues flani ambazo sizo rafiki kwa...
12 Reactions
42 Replies
2K Views
Katika mechi za mwisho hatua ya makundi katika mashindano ya AFCON 2023, Ivory Coast walikuwa wanahitaji Morocco ishinde mechi yake dhidi ya Zambia ili iweze kuinusuru Ivory Coast kuweza kuvuka...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwanasoka wa italia amefungwa jela kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kumuua aliyewahi kuwa moenzi wake Alessandra Mateuzzi mwenye miaka 56. Giovani Podovani 28 ambaye alikuwa...
0 Reactions
11 Replies
882 Views
Hana kazi yoyote pale ndani ya timu, tangu mayele apost yeye ndio amekuwa na kazi ya kumjibu na kumsihi mayele afute andiko lake. Haji ni nani? Haji wako wengi, hata mm naitwa Haji Habibu Kondo...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Simba ametoka kucheza na Geita jana, Leo yuko Dar, kesho ana mazoezi alhamisi trh 15 anamalizia raundi ya kwanza na JKT, halafu trh 18 aende Morogoro kwa Mtibwa aanze raundi ya lala salama. Azam...
0 Reactions
10 Replies
844 Views
Simba angalieni sana hili jambo, uwanja wa Bunju una majini, chamazi complex kuna jini, wachezaji wametupiwa majini, viongozi wametupiwa majini, makocha wametupiwa majini had sisi mashabiki kasoro...
13 Reactions
40 Replies
3K Views
Nyie si mnajifanya wajuaji, mlianza kwenda kutoa misaada kwa yatima mkawa mnashinda kila mechi, watu wakawashtukia ss hv mnawanywesha watu supu, hakuna upendo huo wa kunywesha watu supu, ni majini...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini Wanajukwaa Mimi nimeamka salama Chini ya Udhamini wa Majini ya Yanga yamenituma niende Twitter(X) Asubuhi ya Leo ila nilichokutana nacho nimeumia sana nikajiuliza hivi kwanini tuna watu...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwanza kabisa,Niwape pole umma wa watanzania kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa waziri mkuu Mh Edward Ngoyai Lowasa Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti...
28 Reactions
61 Replies
4K Views
Klabu ya Rayon Sports [emoji1206] imevunja Mkataba na Mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo [emoji1078] Héritier Luvumbu Baada ya ishara aliyoionyesha akishangilia bao lake kwa kuweka mkono...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Klabu ya Rayon Sport ya Rwanda Imevhnja mkataba na Mshambuliaji wake Hatari Raia wa DR Congo Heritier Luvumbu Baada ya hapo Jana kufunga bao na kushangilia Kwa Staili ya kuziba mdomo na kuweka...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…